Bado nasema dube ni mshambuliaji mzuri pamoja na mapito anayopitia.
Mpaka sasa sidhani kama Kuna namba 9 kwenye ligi nzima mwenye mchango wa magoli kwenye timu yake anayemzidi dube!
Kama yupo nitajieni,,magoli 8 na asisti 7 ni jumla ya mchango wa goli 15 kwenye timu,,sio jambo jepesi ukizingatia ndio msimu wake wa kwanza akiwa na yanga!
Kukosa kwake magoli inamtokea mchezaji yeyote uwezi kutumia Kila nafasi unayopata kwenye Kila mchezo na siku azilingani!
Bado ndio mchezaji wa kwanza kufunga hat trick kwenye ligi msimu huu kama ni rahisi wengine wameshindwa nini kufunga hat trick?
Dube namshauri asisikilize sauti za wavimba macho apige kazi na kazi yake tunaiona aendelee kupambana!