Huyu Dube mnataka afunge magoli mangapi ili aonekane ni bora? Goli 8, assist 7 siyo mchango mdogo kwenye timu!

Huyu Dube mnataka afunge magoli mangapi ili aonekane ni bora? Goli 8, assist 7 siyo mchango mdogo kwenye timu!

Angeisadia timu kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika
Team inacheza kwa team work sio kutegemea mchezaji Mmoja ndio aivushe hii nayo sio hoja ya msingi, Kila mchezaji angeisadia team kwa nafasi yake kwaiyo dube bado Yuko vizuri
 
Ilikuwa mechi muhimu kwa mashindano makubwa. Huwezi linganisha ile mechi ya kimashindano na hizi nyingine za CRDB confederation cup, zamani Azam confederation cup
Kwaiyo mechi muhimu ni lazima mchezaji afunge yeye tu? Nini maana ya team work?
 
Ni dube Tena chuma 9 asisti 8,,goli 17 kwenye net na ni msimu wake wa kwanza akiwa yanga🔥🔥🔥🔥
 
Ni dube Tena,,goli 10 asisti 8,,mchango wa goli 18 kwenye timu,,Namba zinaongea,,ndie mchezaji mwenye mchango wa magoli mengi kwenye ligi kuliko mchezaji yeyote yule,,anaendelea alipoishia🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom