Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Mgawa like anaitwa @raree , ana roho nzuri sana
 
Vijana wameamua kuniweka kwenye list of uknown[emoji1787] ila mi ni mtu wa Mungu tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakua unajificha sana hawakujui
 
Namkubali jamaa huwana tukitofautiana mawazo hatubishani sana.
 
Namfananisha na jamaa mwenye duka la electronics sinza madukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…