Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Hawezi kumzidi mkwepu jr [emoji3][emoji3]Ninachojua huyu mwamba ni king of likes, hua haoni tabu kumpa mtu like.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kumzidi mkwepu jr [emoji3][emoji3]Ninachojua huyu mwamba ni king of likes, hua haoni tabu kumpa mtu like.
HahahaEeh kitengo cha social media mzee wa kazi[emoji23]
Mimi ni maji usiponinywa utaogaKilaza Mods wameishi nae 😂😂😂
Hujajibu swali punguza hasira [emoji23][emoji23][emoji23]Pole mkuu,una shida pahala.sema nashangaa sana unapokuwa na mihemuko ya wamama kuwa bleeding period
Balahe za ki jf mkuuUnajipa umuhimu?
Mi nikunywe wewe mchumia tumbo, hebu usijipe ustaa ambao huna kijana😂😂😂Mimi ni maji usiponinywa utaoga
Leo umeamka vizuri,umenijibu Kwa upole Ivo😳🙌Hujajibu swali punguza hasira [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyuzi zote yupogo na hakosi hata moja. Halafu yeye siku zote yuko neutralNyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.
Ndio raha ya JFs ati.Kila mtu anajiunga JF kwa interest zake, kuna yule jamaa wa kugawa LIKE kila post na kuna Extrovet na yeye ana ya kwake, wengine ni waanzisha nyuzi ndefuuu, wengine wanapenda kukomenti kila post, wengine wanapenda kukosoa kila post ili mradi tu apunguze stress zake aifurahishe nafsi yake, kuna yule mmoja kila mwanamke kampitia, yule mwingine Kasinde yeye ana mambo yake, basi raha tu
Mkuu umesahau tu. Enzi zile watu walisakamwa hata vitu vidogo tu mradu tu uwaudhi wenye chama chaoAcha woga dogo huyo ni mchizi wangu kinyama wala hana mambo mengi.
Halafu we una nyuzi gani za kutishia usalama hata wa mtaa kama panyaroad
Siyo kweli.Habari na mimiMnajuana ninyi, kwanini akufuatilie sasa! Ila huyu jamaa sio nyuzi zako tu ana show love kwenye nyuzi nyingi tu humu ndani
Mamboz😍
Pouwaaa,, kumbe wewe ni mtu usiyejulikana na hausemi😊🙈Mamboz😍