Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Unamjua?, msipende kujihenekesha, humu wengi hatujuani mpaka tutambuane kwa majina sasa wewe unasema ni mtu mzuri je umewahi kumwona na kukaa nae.
Sasa Mkuu we ulijiunga JF ili kujificha? Mbona wengi tuna ndugu, marafiki, wafanyakazi wenzetu humu na tunafahamiana ila wewe kumuona to yeye akimsifu Extrovert unaona anahenyeka kweli humu ndani tunatofautiana.
 
Back
Top Bottom