Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Ni moja ya wakaka wanaojitambua humu, hana tabia za kinoko noko, pamoja na ucheshi wake wote huwezi kumkuta kwenye mada za mipasho, hata mkitofautiana mtizamo hawezi kutoa lugha za maudhi na dhihaka,, sielewi kwanini huwa wanampa ban ovyoovyo,, na kuacha ID za kiume zenye upumbavu na ujinga mwingi
Ukiona nimekula ban jua tu kuna pimbi nimem "Nazify" sababu ananongea upupu kwenye mambo serious 😂😂😂
 
Unawashwa sanaaaa eeeeh? Bila kunitaja hupati mabasha wa kukupumulia? Mbweha wee. Mxxxxieeeeeeeew!!!!
Unawashwa sanaaaa eeeeh? Bila kunitaja hupati mabasha wa kukupumulia? Mbweha wee. Mxxxxieeeeeeeew!!!!
Hivi kilikuuma nini hasa mpaka ukaumia kuona shog.a kuuwawa kwa kuingia choo cha kiume?

halafu unamsifia eti handsome😅
 
Jamaa naona ni mtu peace tu, yeye anashow love kwa kila mmoja wetu.
 
Extrovert ni wewe Muanzisha thread umekuja kujipa promo eti unajiita sunguraa
 
Nyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.
JF imewekwa ili mtu akitoa maoni yake, wengine wayafuatilie, iwe kwa karibu au kwa mbali..!!! Sasa wewe unashangaza kuona ulichokiandika kinafuatiliwa..!!!
 
Back
Top Bottom