Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Member anayeongoza kwa kula Ban akifuatia Gentamicin 😅😅
Mpk nashangaa kwa nini anakula ban wakati muda wote anatoa haha (Kichoko😂😂)kwenye comments na sijawahi kuona post yake yeyote mbaya kiasi cha kupewa ban.
 
Back
Top Bottom