Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Kila mtu anajiunga JF kwa interest zake, kuna yule jamaa wa kugawa LIKE kila post na kuna Extrovet na yeye ana ya kwake, wengine ni waanzisha nyuzi ndefuuu, wengine wanapenda kukomenti kila post, wengine wanapenda kukosoa kila post ili mradi tu apunguze stress zake aifurahishe nafsi yake, kuna yule mmoja kila mwanamke kampitia, yule mwingine Kasinde yeye ana mambo yake, basi raha tu
Kuna na wale kama mimi tunapenda na kuuelewa uzi fulani lakin uvivu wa kukoment

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Ni Polisi Asilimia 560938302739 kampooze yaishe vinginevyo ,Utashtakiwa kwa kosa la kumfuatilia na kumuingilia ktk wajibu wake kikazi Jf
Shambulio la ki comment hili😂😂😂 lazma nimkamate
 
Kaamua ajianzishie uzi kwa id nyengine..😂
 
Back
Top Bottom