Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Acha uoga Mkuu humu kila mtu ana style yake ya maisha jina lenyewe tu extrovert alafu unauliza tena.

Ngoja nikuitie huyu mwamba Kitimoto atembeze dislike uzi mzima ndio ujue humu kila mtu ana style yake ya maisha.
Umenikumbusha hahahahhahaa yaani Kitimoto yeye ni mwendo wa DISLIKE mwanzo mwisho kuna siku alikuja kumpa DISLIKE hadi mwenye mtandao wake, just for funny
 
Nyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.
Bora hata umemgundua mapema hivyo tutakuongezea ulinzi. Huyo Extrovert na mwenzake mkwepu jr , ni wazee wa Nissan Nyeupe kitambo tu.

Unatakiwa kuanzia sasa uishi kwa tahadhari kubwa. Yaani wewe umeshakuwa kama madini ya Tanzanite. Ukizubaa tu, umesombwa na Nissan Nyeupe.
 
Ni moja ya wakaka wanaojitambua humu, hana tabia za kinoko noko, pamoja na ucheshi wake wote huwezi kumkuta kwenye mada za mipasho, hata mkitofautiana mtizamo hawezi kutoa lugha za maudhi na dhihaka,, sielewi kwanini huwa wanampa ban ovyoovyo,, na kuacha ID za kiume zenye upumbavu na ujinga mwingi
 
Back
Top Bottom