Mbona hata WABONGO wanapost SAHANI YA CHIPS na ROBO KUKU mitandaoni?utawasikia ABOUT LAST NIGHT.... sasa kuna tofauti gn na MAYWETHER?tuache CHUKIJamaa ana ushamba flani utadhani hizo hela aliziokota tu mahali...kumbe kahustle kuzipata lakini kama hajazizoea hela kabisaa... ushambaa mwingiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Rekebisha hapo kwenye boldsembuse huyo na hizo saa zake na vidolla dollar kadhaaa
Unamjua blackyoungstar?? anapost pesa kwel sio uongo!! alafu izo saa haziuzwi hio bei ikumbukwe pia watu kama huyo ni rahisi sana kuongeza 0 but over of all tuwaachie wenyew na maisha yao mkuu, mtu anapesa kama budget ya mwaka mzim ya tanzania waty did u expect!!!
Yule anapost huku anaongea shit...!! akafiee mbelee hukoo fwala tuu...Mbona hata WABONGO wanapost SAHANI YA CHIPS na ROBO KUKU mitandaoni?utawasikia ABOUT LAST NIGHT.... sasa kuna tofauti gn na MAYWETHER?tuache CHUKI
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakwambiya HATE ME OR GET MOTIVATED from my SUCCESSFUL.... kwhyo wewe UMEJICHAGULIA,,"" HATE ME.""...sawa mkuu...HIYO NDY HALI halisi ya MUAFRICA...na hauko peke yako mkuu..mpo MILIONS OF HATERS,,,Yule anapost huku anaongea shit...!! akafiee mbelee hukoo fwala tuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana simjui vizuri. Ila najua networth yake iko katikati ya $700 mil mpaka kukaribia $1B.
Mkuu wakati anapokea makonde nilikuwepo, sema maumivu sikuyapata kwasababu mimi nilikuwa mtazamaji tuHizi ngozi nyeusi zina kalaana fulani hivi, ila ni zake, mwache afanye anachokitaka, maana wakati anapokea yale.makonde ulingoni wewe hukuwepo!
Wakora waituAibu nimeona mimi. Jamma anajua kijidai kama kabila furani havi hapa Bongo. Manina zake...
Hao watu ndio asili yao mkuu. yan we umeona hio tu! watu umewahi kuona akina birdman mtu anachezea pesa zimejaa contena bloo! au mtu anamwaga kwenye sweeming pesa za kutosha, akina youngblacstar mtu anamwaga pesa chumban akizilalia haonekani blooh sembuse huyo na hizo saa zake na vidolla dollar kadhaaa [emoji1]
Hao wote ulio wataja hakuna anayemfikia maiweza kwa feza
Hukumsaidia kutafuta usimpagie ktumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jon ukiisikiliza kwa makini video yake huwezi kuhangaika naye... Ni maisha yake muache...Mzuqa
Yani Mayweather anakera kupita maelezo. Mimi nilishamdelete kwenye Instagram yangu sitaki upuzi. Yani ni limbukeni aliyekubuhu.
A normal sane aged person cant behave like this. This dude is stupid.
Ni kakukaombea tu kafulie hamna namna!
mng'ato baba swalehe Prince Kunta chaliifrancisco Behaviourist Lyamber Viatu vya Samaki Mr Q Zero IQ King Kong III manengelo Sky Eclat monde arabe
[emoji123][emoji123][emoji123]hate or get inspired... Haters watamkandia kwa mengi lakini hajali ni maisha yake na ana hela kuliko sisi wote na wengine mamilioni kwa mamilioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha,ushamuona anaposoma maandishi au mwandiko wake?...
Wenzetu wanaamini katika kipaji,babake hakuwa baba bora,aliamini kipaji cha mwanawe
na kumjengea misingi......."HATE OR GET INSPIRED"
Jon watu hawawezi kufanana hata maramojaNi ulimbukeni tuu. Mbona wenzake akina Dr dre pdiddy na jigger wako poa tangu washike hela hadi Leo. Yani aibu
[emoji123][emoji123][emoji123]hate or get inspired [emoji23][emoji123]Kwani KOSA LAKE NN?tuache WIVU...na sisi tupost NDOO ZETU Za maji,,,mbn akina CHIBU wanapost vijisent vya MADAFU mitandaoni na ,,mpo KIMYA?GET HATE or INSPIRE.... mambo kama hayo ndy yanapaswa yakupe HAMASA NA HASIRA ZA MAISHA,,,tutafute pesa wakuu,,,kama ni KUJIONA MATAWI YA JUU,,kila MTU humu ana jiona matawi kwa UPANDE WAKE...wangapi humu mkiwa kwenye VIGARI vyenu MNARUSHIA watu MATOPE na maji machafu wakati wa mvua bila kujali,,,?wangapi humu mnajiona nyie ndil nyie hakuna mwingine? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app