Huyu Floyd Mayweather ni kumuombea afulie tu

Huyu Floyd Mayweather ni kumuombea afulie tu

Jamaa ana ushamba flani utadhani hizo hela aliziokota tu mahali...kumbe kahustle kuzipata lakini kama hajazizoea hela kabisaa... ushambaa mwingiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata WABONGO wanapost SAHANI YA CHIPS na ROBO KUKU mitandaoni?utawasikia ABOUT LAST NIGHT.... sasa kuna tofauti gn na MAYWETHER?tuache CHUKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wacha USHAMBA,,,DUNIANI inchi nyingi VITU VIPO FIXED PRICE...hakuna nipunguzie,,na vitu vyote VINA BEI TAYARI...hakuna asiyejuwa BEI ya kitu Fulani,,, chukuwa hiyo SAA ya MAYWETHER,,,ingia GOOGLE unaletewa BEI HALISI...kuna gari nimeona kwa 50 CENTS inauzwa DOLARS 3.5 MILLIONS... sasa MTU anazo 10 si balaa hilo MKUU?
Unamjua blackyoungstar?? anapost pesa kwel sio uongo!! alafu izo saa haziuzwi hio bei ikumbukwe pia watu kama huyo ni rahisi sana kuongeza 0 but over of all tuwaachie wenyew na maisha yao mkuu, mtu anapesa kama budget ya mwaka mzim ya tanzania waty did u expect!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamjua Floyd Mayweather vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana simjui vizuri. Ila najua networth yake iko katikati ya $700 mil mpaka kukaribia $1B.
Je Wewe unamfahamu Demetrius Flenory aka Big Meech!? Mtu ambaye by 2005 Feds walipomtia mikononi kwao alikuwa ana more than $800 million na mzigo aliokuwa nao at the time ulikuwa ni 500kg of pure cocaine. Achilia mbali mizigo ambayo Feds hawakuwa na taarifa nayo wala pesa ambazo Feds hawakuweza kuzihakiki au kuzikamata!?
Piga hesabu hizo kilo 500 za cocaine ni bei gani!? Na hizo kilo ni zile ambazo Feds walizikamata na kuwa nazo achilia mbali zile coke ambazo walishindwa kumlink nazo direct.
Huyo Mayweather anamjua nakumtambua Big Meech. Uliza kwa Wazee wa Dirty south.
 
Hizi ngozi nyeusi zina kalaana fulani hivi, ila ni zake, mwache afanye anachokitaka, maana wakati anapokea yale.makonde ulingoni wewe hukuwepo!
Mkuu wakati anapokea makonde nilikuwepo, sema maumivu sikuyapata kwasababu mimi nilikuwa mtazamaji tu
 
Mbona maskini wakipost wanakula ugali na samaki chukuchuku matajiri hawatoi povu?
 
Hao wote ulio wataja hakuna anayemfikia maiweza kwa feza
Hukumsaidia kutafuta usimpagie ktumia
Hao watu ndio asili yao mkuu. yan we umeona hio tu! watu umewahi kuona akina birdman mtu anachezea pesa zimejaa contena bloo! au mtu anamwaga kwenye sweeming pesa za kutosha, akina youngblacstar mtu anamwaga pesa chumban akizilalia haonekani blooh sembuse huyo na hizo saa zake na vidolla dollar kadhaaa [emoji1]
 
Sasa kuna watu maskini sana hapo us hata Haiti kwann asibaki na saa 3 tu nyingne auze ainue wengine
 
Hao wote ulio wataja hakuna anayemfikia maiweza kwa feza
Hukumsaidia kutafuta usimpagie ktumia

Sijampangia mtu kutumia pesa zake but The one seems to have money because he just likes to show off but I believe there are people who are investing enough and are just silent[emoji57]
 
Mzuqa

Yani Mayweather anakera kupita maelezo. Mimi nilishamdelete kwenye Instagram yangu sitaki upuzi. Yani ni limbukeni aliyekubuhu.

A normal sane aged person cant behave like this. This dude is stupid.

Ni kakukaombea tu kafulie hamna namna!



mng'ato baba swalehe Prince Kunta chaliifrancisco Behaviourist Lyamber Viatu vya Samaki Mr Q Zero IQ King Kong III manengelo Sky Eclat monde arabe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jon ukiisikiliza kwa makini video yake huwezi kuhangaika naye... Ni maisha yake muache...
Miaka fulani kuna khanga zilitoka zimeandikwa... USIMWINGILIE ALIYEPEWA KAPEWA
nasi tutumie muda wetu vizuri kutafuta za kwetu tukawaringishie haters

Jr[emoji769]
 
Ha ha,ushamuona anaposoma maandishi au mwandiko wake?...
Wenzetu wanaamini katika kipaji,babake hakuwa baba bora,aliamini kipaji cha mwanawe
na kumjengea misingi......."HATE OR GET INSPIRED"
[emoji123][emoji123][emoji123]hate or get inspired... Haters watamkandia kwa mengi lakini hajali ni maisha yake na ana hela kuliko sisi wote na wengine mamilioni kwa mamilioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Ni ulimbukeni tuu. Mbona wenzake akina Dr dre pdiddy na jigger wako poa tangu washike hela hadi Leo. Yani aibu
Jon watu hawawezi kufanana hata maramoja
Kuna watu hapa wanaweza kuandika hekima kwakuwa tu hawana kitu mfukoni lakini siku wakizikamata utashangaa

.... Pata hela tufahamu tabia yako....!

Jr[emoji769]
 
Kwani KOSA LAKE NN?tuache WIVU...na sisi tupost NDOO ZETU Za maji,,,mbn akina CHIBU wanapost vijisent vya MADAFU mitandaoni na ,,mpo KIMYA?GET HATE or INSPIRE.... mambo kama hayo ndy yanapaswa yakupe HAMASA NA HASIRA ZA MAISHA,,,tutafute pesa wakuu,,,kama ni KUJIONA MATAWI YA JUU,,kila MTU humu ana jiona matawi kwa UPANDE WAKE...wangapi humu mkiwa kwenye VIGARI vyenu MNARUSHIA watu MATOPE na maji machafu wakati wa mvua bila kujali,,,?wangapi humu mnajiona nyie ndil nyie hakuna mwingine? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji123][emoji123][emoji123]hate or get inspired [emoji23][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom