impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Atakuwa na chembe chembe za uhayaAibu nimeona mimi. Jamma anajua kijidai kama kabila furani havi hapa Bongo. Manina zake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa na chembe chembe za uhayaAibu nimeona mimi. Jamma anajua kijidai kama kabila furani havi hapa Bongo. Manina zake...
Kuna wakati huwa nahisi haya maisha yako tricky sana...hahhaa hili jamaa si ndio inasemekana halijui kusoma! yaani macellebs wa mbele wa hovyo sana aisee pamoja na mwenzie R.kelly ambae kwenye uwasilishwaji wa tuzo aliwekewa teleprompter awe anasoma akatia aibu hajui kusoma
Mzuqa
Yani Mayweather anakera kupita maelezo. Mimi nilishamdelete kwenye Instagram yangu sitaki upuzi. Yani ni limbukeni aliyekubuhu.
A normal sane aged person cant behave like this. This dude is stupid.
Ni kakukaombea tu kafulie hamna namna!
mng'ato baba swalehe Prince Kunta chaliifrancisco Behaviourist Lyamber Viatu vya Samaki Mr Q Zero IQ King Kong III manengelo Sky Eclat monde arabe
Hayo mambo ni ya kawaida kwa baadhi ya hao wamarekani wenye asili ya kiafrika wakipata pesa na mafanikio kutokana na hali halisi ya maisha magumu waliyopitia huko awali.
Floyd amepitia maisha magumu sana na yenye changamoto nyingi. Mara nyingi watu wa aina hiyo wakifanikiwa kimaisha huwa wanapenda kutumia nguvu ya pesa kufahamika na kuheshimika.
Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kugongana na jamaa mmoja akiwa na wapambe wake kama 50 hivi katika Club moja maarufu Atl ilikuwa ikiitwa Club 112. Huyo jamaa alikuwa na wapambe kibao na wote walikuwa wakiendesha magari ya bei mbaya sana. Ndani kule VIP section walikuwa wameingia na mabegi ya hela (Duffle bags) zilizojaa pesa. Walikuwa wanarusha pesa chini tulipokuwa tumekaa sisi akina kajamba nani utafikiri wanarusha makaratasi. Ndio kina Wayne walipata ile concept ya Make it Rain kutoka kwa huyo jamaa na kundi lake. Hakuna narudia tena hakuna Baller yoyote US kwa wakati huo aliyemfikia huyo jamaa kwa pesa na matanuzi. Sio kina P.Diddy wala Jay Z. Hao wote walimjua na kumheshimu. Alikuwa anakula bata ya hatari sana.
Huyo jamaa anaitwa Demetrius Flenory aka Big Meech..the Real Big Meech. Na kundi lake lilikuwa linaitwa BMF (Black Mafia Family). Mayweather na mbwembwe zake zote anakalishwa na huyu mkali.
Pitia ytube search BMF au Big Meech uangalie mambo ya huyu Mwamba. Alikuwa sio mtu wa makelele sana ila wapambe ndio ilikuwa shida.
Free Big Meech.
Alinikera katika hiyo video. Nikaona hapa ni bure kabisa.....Kuna clip moja alionekana anasema you either hate or get inspired, alionesha Rolls Royce 7, i call them lucky 7, i got the mayback, maybach or whatevwr you call it, sasa gari 7 za aina moja za kazi gani ni ukosefu wa elimu unawasumbua wamarekani weusi wwnye hela