Huyu fundi simu anakagua simu za wateja akimaliza kutengeneza

Kwa wadangaji sawa wako kibiashara, anamsaidia kutafuta wateja. Si ni kazi yao.
Mtu mwenye akili zako timamu unaanzaje kutuma picha za hovyo kwa mtu ambaye hujui atazifanyia nini?? Muhimu ni kulinda utu wako na kuacha kushea picha au video mbaya.
True say, privacy inaanza na mtu mmojammoja kwanza. Kama wewe binafsi uliweza kushea picha zako kwanini watu baki wasizishee?
 
Vitu vingine tuache kutusingizia mafundi simu, fundi ataonaje vitu vya kwenye simu kama sio ww umempa password? Kama shida ya simu ipo kwenye system charge fundi anaweza tengeneza simu Yako vzr tu na akawasha ila asipate namna ya kuaccess mafile
 
Ni kosa kisheria kutoweka password kwenye simu yako kama umeitumia kuweka data zako binafsi
 
Kuna namna inabidi tuzingatie hivi vitu aisee
 
Nsia huyo na rafiki yake. Mpaka leo video zake zipo. Ila life goes on ana maisha yake na mumewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…