Huyu fundi simu anakagua simu za wateja akimaliza kutengeneza

Huyu fundi simu anakagua simu za wateja akimaliza kutengeneza

Kwa wadangaji sawa wako kibiashara, anamsaidia kutafuta wateja. Si ni kazi yao.
Mtu mwenye akili zako timamu unaanzaje kutuma picha za hovyo kwa mtu ambaye hujui atazifanyia nini?? Muhimu ni kulinda utu wako na kuacha kushea picha au video mbaya.
True say, privacy inaanza na mtu mmojammoja kwanza. Kama wewe binafsi uliweza kushea picha zako kwanini watu baki wasizishee?
 
Vitu vingine tuache kutusingizia mafundi simu, fundi ataonaje vitu vya kwenye simu kama sio ww umempa password? Kama shida ya simu ipo kwenye system charge fundi anaweza tengeneza simu Yako vzr tu na akawasha ila asipate namna ya kuaccess mafile
 
Habarin wa jf natumaini mko powah kabisa

Huyu fundi simu amenishangaza sana mbaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wa hanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa angu fundi simu wa hapa town maeneo flani iv sasa huwa nakuja hapa mara kwa mara kupiga story na mambo mengine

Nimekaa hapa kama dk 30 iv hakaja mama mtu mzima age 38+ kaleta simu yake imezima haipeleki chaji sasa fundi akamwambia basi ngoja niishugulikie baada ya nusu saa uje uchukue ukiangalia ofisi yenyewe sehemu ya kuka mteja aseme asubiri amna ko lazima aeende arudi basi kama baada ya dk 10 iv simu ikawaka fresh ndo jamaa kunishtua oyah plus njoo uone vitu iv daha jamaa akaanza kunionesha video za utupu ambazo kazikuta kwenye trash ya google photo, watu wengi watumiaji wa simu wanafutaga video kwa mazoea kumbe video zinaeenda trash na kule zinajifuta baada ya siku 60 kwa google photo kama sijakosea

Baada ya kunionesha video na picha jamaa angu akaamia kusoma message aisee hapa nikabaki hoi sasa jamaa mbaka message nikawaza na mimi simu yangu ikiharibika itakuaje na sina tabia ya kufuta message kabisa na kwa huyu jamaa angu inaonekana ni tabia yake maan kanisimulia mambo aliyo yaona kwenye simu ya mzee fulani ninae mfahamu aliyeenda kurekebishiwa simu yake

Niwashauri tu kama unatengeneza simu simamia simu yako ikamilike izo tabia za kumuamini fundi itawa gharimu fundi haaminiki ikiwezekana simu ikiharibika weka ndani nunua simu nyingine
Ni kosa kisheria kutoweka password kwenye simu yako kama umeitumia kuweka data zako binafsi
 
Hivi unaanzaje kuhifadhi vitu vya ajabu kwenye simu? Wenzetu huo ujasiri mnautoa wapi?!! Sio fundi tu, hata ikitokea umeumwa mama yako anashika simu yako anakuta vitu vya ajabu utajisikiaje?
Kuna tabia zingine za hovyo watu waache, ndio hiyo unajikuta umechafua hali ya hewa.
Kuna namna inabidi tuzingatie hivi vitu aisee
 
Curiousity ipo programmed kwenye akili ya mtu automatically. Kuna demu mmoja alikuwa anasoma SAUTI alipataga hitilafu ya PC yake basi akaipeleka kwa mafundi. Kwa bahati mbaya, kulikuwa na picha video zake za utupu kwenye moja ya mafaili yake. Saa ngapi yule fundi asi-hold kama dhamana. Yaani yule dada alipie hela zaidi ili fundi asisambaze zile picha na video zake. 😌
Nsia huyo na rafiki yake. Mpaka leo video zake zipo. Ila life goes on ana maisha yake na mumewe.
 
Back
Top Bottom