google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Mkuu umetishaaa sanaa shida ni hilo tobo lazima lizibwe kwa kuchomekwa mpini hilo jiti kubwa na refuu ndo kazi ifanyike kwa ufasaha yaani KUWEZESHWA.[emoji1][emoji1][emoji1] Kwamba jembe lina tobo...! Na bila tobo wala mpini wa kuchomeka si lolote si chochote?
Kwamba mpini mpini una faida nyingi kwa maana ya matumizi bila jembe!?View attachment 1896418
NimekutagLisemwalo lipo.. Mbele ya kayafa angesema hivi?
Siku hiz tunaitia msoga mambo ya mailmoja sio ishu tenaWeee Mzee inji hii ukiiwaza sana utachanganyikiwa, kuna kitu kinaitwa agenda denie hiyo walifaulu sana mataifa ya kijamaa, na kitu hii inafanya kazi sehemu nyingi hasa kwetu na siku wananchi wakistuka utaona moto wake, ndio maana inaitwa bandika bandua na ujue wako well calculated maaana tozo chali, katiba chali, mbowe atapewa dhamana na kuachiwa kisela maana marekani wamewavua nguo, maisha yanaendelea na hii ndio bongo ambayo kabla ya kuingia lazima upite maili moja
#wakiweza wamewezeshwa[emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Mkuu umetishaaa sanaa shida ni hilo tobo lazima lizibwe kwa kuchomekwa mpini hilo jiti kubwa na refuu ndo kazi ifanyike kwa ufasaha yaani KUWEZESHWA.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Tuangalie hii hali kwa Jicho la tatu. Usisahau Gwajima ni mjengaji wa hoja. Usisahau ndiye alikshawishi EL kujiunga na Chadema 2015!Okay!
Haswaaaaaa ndio jibu#wakiweza wamewezeshwa[emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
BROTHER KAKA! Huu uzi ebu angalia namna ya kuuboresha au kuufuta!Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana.. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha
Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema kwamba hayakupewa kipaumbele zaidi ya watu kula bata kwa raha zao...Hakika usemi wa kazi na bata ulipata umaarufu sana kipindi kile..
Ukiachana na mapungufu ya ile semina lakini watendaji wale walitoka pale na kitu kikubwa sana! Kule kuwakutanisha nje ya taratibu zao za kawaida za majukumu ya kila siku kulisaidia sana kuwajenga na kuwaleta pamoja na kuwafanya kuwa kitu kimoja
Semina elekezi hizi ziliendelea kila wakati kwa kipindi chote cha utawala wa JK.. Hawa watendaji walipata nafasi ya ku relax, kupunguza uchovu,kutoa stress kufahamiana kwa karibu nje ya taratibu za kazi nknk
Baada ya Kikwete kumaliza muda wake alimkabidhi kijiti marehenu hayati Magufuli....Huyu alifuta kila kitu... Si senina elekezi wala makongamano makazini... Maono yake hayakuwa ya JK! Watendaji lile bata la JK likakoma na kuanza kutimiza majukumu yao kwa pressure kubwa..na hata kama kulikuwa na semina au kongamano kukawa tena hakuna bajeti za vyakula na kumbi za kukodi..mambo yaliishia idarani tena kwa maji na biskuti ikawa sasa sio KAZI NA BATA tena bali HAPA KAZI TUU..!
Haya mambo ya sasa ya watendaji kupishana kauli ama kila mmoja kuongea lake ni matokeo ya kauli mbiu ya hapa kazi tuu.. Na wala hayakuanza sasa..huu ni mwendelezo tuu toka enzi za mwendazake
Huu mgongano wa kauli na kulifungia gazeti la chama kwa siku saba ni matokeo yaleyale ya kukosekana mawasiliano, umoja na kujitambua kwamba nani anapaswa kufanya nini kusema nini na wapi! Nikikumbuka matamko ya watendaji wakati wa Magufuli nabaki tu kucheka...! Hakuna aliyekubali kuwa chini ya mwingine bali kila mmoja alijitahidi kutoa tamko kali kuliko mwenzake ili kumfurahisha bwana Mkubwa
Sakata la mchungaji Gwajima aliyeichokonoa serikali vilivyo limechukua sura mpya baada ya serikali kupitia waziri wa afya kutoa amri/agizo la kukamatwa Gwajima mchungaji na jeshi la polisi ambalo ni organ ya serikali
Mkuu wa jeshi la polisi bila fikra na tafakuri alipoulizwa kuhusu kukamatwa Gwajima alisema hajapata wito rasmi wa maandishi toka serikalini, lakini hata hivyo akaenda mbali na kutoa ushauri na maelekezo... Kwamba hata akipokea oda ya kumkamata Gwajima mchungaji basi wataangalia kama kuna jinai na kama basi ipo jeshi la polisi litashauri wamalizane kwa njia ya mazungumzo!
Kwanza mzee Sirro ajue kwamba hili si suala la ndugu wawili mtu na shemeji yake hata atoe ushauri 'wamalizane wenyewe' hili ni la kiserikali
Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop! Mengine yote aliyoongea hayakuwa mahali pake! Je wakati wa kayafa angefanya hivi?
Mawasiliano ya watendaji yanafanyika mitandaoni na bila kuwasiliana kwanza..yaani ni kama kuna kuoneshana ubabe na ujuaji!
LAKINI ukiachana na hayo yote kuna tatizo kubwa huko ndani, waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!
Kuna dharau juu ya wanawake inajitanabaisha hapa na kuna kikundi ndani ya mamlaka hakikubali kuongozwa na wanawake! Je Gwajima na Sirro ni sehemu yao?
Kwa kusoma hilo bandiko lako ni dhahiri shahiri ww umeegemea upande mmoja, jambo ambalo ni baya kwa mtu mwenye ueledi ambao nazan hauna. Unakumbuka enzi za lugola na yale matamko yake ya kijinga jinga kuamrisha polisi fanya hv fanya vile. Nini kilitokea? Kama hujui taratibu za kijeshi kaa kimya! Jeshi haliongozwi kwa matamko na mipasho juu ya majukwaa.. kama gwjima waziri anajua majukumu yake bas asingetamka huo ujinga kwenye majukwaa angekaa na vyombo vya usalama kisha waandae utaratibu wa kumfikisha kwenye mamlaka husika bishop gwajima ili kujibu hizo tuhuma.Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana.. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha
Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema kwamba hayakupewa kipaumbele zaidi ya watu kula bata kwa raha zao...Hakika usemi wa kazi na bata ulipata umaarufu sana kipindi kile..
Ukiachana na mapungufu ya ile semina lakini watendaji wale walitoka pale na kitu kikubwa sana! Kule kuwakutanisha nje ya taratibu zao za kawaida za majukumu ya kila siku kulisaidia sana kuwajenga na kuwaleta pamoja na kuwafanya kuwa kitu kimoja
Semina elekezi hizi ziliendelea kila wakati kwa kipindi chote cha utawala wa JK.. Hawa watendaji walipata nafasi ya ku relax, kupunguza uchovu,kutoa stress kufahamiana kwa karibu nje ya taratibu za kazi nknk
Baada ya Kikwete kumaliza muda wake alimkabidhi kijiti marehenu hayati Magufuli....Huyu alifuta kila kitu... Si senina elekezi wala makongamano makazini... Maono yake hayakuwa ya JK! Watendaji lile bata la JK likakoma na kuanza kutimiza majukumu yao kwa pressure kubwa..na hata kama kulikuwa na semina au kongamano kukawa tena hakuna bajeti za vyakula na kumbi za kukodi..mambo yaliishia idarani tena kwa maji na biskuti ikawa sasa sio KAZI NA BATA tena bali HAPA KAZI TUU..!
Haya mambo ya sasa ya watendaji kupishana kauli ama kila mmoja kuongea lake ni matokeo ya kauli mbiu ya hapa kazi tuu.. Na wala hayakuanza sasa..huu ni mwendelezo tuu toka enzi za mwendazake
Huu mgongano wa kauli na kulifungia gazeti la chama kwa siku saba ni matokeo yaleyale ya kukosekana mawasiliano, umoja na kujitambua kwamba nani anapaswa kufanya nini kusema nini na wapi! Nikikumbuka matamko ya watendaji wakati wa Magufuli nabaki tu kucheka...! Hakuna aliyekubali kuwa chini ya mwingine bali kila mmoja alijitahidi kutoa tamko kali kuliko mwenzake ili kumfurahisha bwana Mkubwa
Sakata la mchungaji Gwajima aliyeichokonoa serikali vilivyo limechukua sura mpya baada ya serikali kupitia waziri wa afya kutoa amri/agizo la kukamatwa Gwajima mchungaji na jeshi la polisi ambalo ni organ ya serikali
Mkuu wa jeshi la polisi bila fikra na tafakuri alipoulizwa kuhusu kukamatwa Gwajima alisema hajapata wito rasmi wa maandishi toka serikalini, lakini hata hivyo akaenda mbali na kutoa ushauri na maelekezo... Kwamba hata akipokea oda ya kumkamata Gwajima mchungaji basi wataangalia kama kuna jinai na kama basi ipo jeshi la polisi litashauri wamalizane kwa njia ya mazungumzo!
Kwanza mzee Sirro ajue kwamba hili si suala la ndugu wawili mtu na shemeji yake hata atoe ushauri 'wamalizane wenyewe' hili ni la kiserikali
Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop! Mengine yote aliyoongea hayakuwa mahali pake! Je wakati wa kayafa angefanya hivi?
Mawasiliano ya watendaji yanafanyika mitandaoni na bila kuwasiliana kwanza..yaani ni kama kuna kuoneshana ubabe na ujuaji!
LAKINI ukiachana na hayo yote kuna tatizo kubwa huko ndani, waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!
Kuna dharau juu ya wanawake inajitanabaisha hapa na kuna kikundi ndani ya mamlaka hakikubali kuongozwa na wanawake! Je Gwajima na Sirro ni sehemu yao?
Ukishaumwa na nyoka, ukiona unyasi…….Si kila mara atapatia ..na ishu ya EL ilikuwa na viasili vingj
inategemea na jembe la aina gani,yapo yanayochomeka mpini na yapo yanayochomekwa mpini.Kama jembe mpaka lichomekwe mpini ndo lifae kwa kulima hahahaha
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Weledi wa jeshi letu ungekuwa hivyo basi mahabusu zetu zisingefurika watuhumiwa wala mahakama zetu zisingekuwa na msururu wa kesi zisizo na kichwa wala miguuBROTHER KAKA! Huu uzi ebu angalia namna ya kuuboresha au kuufuta!
Jeshi la polisi linapomkamata mtu, LAZIMA Limfikishe mahakamani kwa mujibu wa sheria!
Hivyo LAZIMA LIPELEKE USHAHIDI MAHAKAMANI!
Sasa linapokamata watu bila jinai, huko MAHAKAMANI Polisi watatoa ushahidi gani?
HALAFU NDO NYIE NYIE POLISI WAKIBANWA MBAVU HUKO MAHAKANI MNASEMA HAWANA AKILI YA KUTOA UTETEZI!
SIRRO YUPO Sahihi 100% ; Jeshi la polisi pamoja jukumu la ukamataji, lakini hutazama jinai kwanza, kama hakuna jinai hushauri njia nyingine!
KUWA NA NYUNDO haimaanishi Uue kila kitu kwa Nyundo! Wadudu kama Inzi zipo njia zingine za kuwaondoa! Ukitumia Nyundo unaweza hata kuvunja na meza yenyewe!
UZI WAKO UNACHONGANISHA JINSIA NAOMBA UFUTE KWA HESHIMA YAKO MJOMBA WANGU brother kaka
Polisi wanasubili yule mlalamikaji wa video ya ngono! Kama unamjua toa ushirikiano
Leta mifano chinga maisha yaende sawainategemea na jembe la aina gani,yapo yanayochomeka mpini na yapo yanayochomekwa mpini.
Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana.. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha
Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema kwamba hayakupewa kipaumbele zaidi ya watu kula bata kwa raha zao...Hakika usemi wa kazi na bata ulipata umaarufu sana kipindi kile..
Ukiachana na mapungufu ya ile semina lakini watendaji wale walitoka pale na kitu kikubwa sana! Kule kuwakutanisha nje ya taratibu zao za kawaida za majukumu ya kila siku kulisaidia sana kuwajenga na kuwaleta pamoja na kuwafanya kuwa kitu kimoja
Semina elekezi hizi ziliendelea kila wakati kwa kipindi chote cha utawala wa JK.. Hawa watendaji walipata nafasi ya ku relax, kupunguza uchovu,kutoa stress kufahamiana kwa karibu nje ya taratibu za kazi nknk
Baada ya Kikwete kumaliza muda wake alimkabidhi kijiti marehenu hayati Magufuli....Huyu alifuta kila kitu... Si senina elekezi wala makongamano makazini... Maono yake hayakuwa ya JK! Watendaji lile bata la JK likakoma na kuanza kutimiza majukumu yao kwa pressure kubwa..na hata kama kulikuwa na semina au kongamano kukawa tena hakuna bajeti za vyakula na kumbi za kukodi..mambo yaliishia idarani tena kwa maji na biskuti ikawa sasa sio KAZI NA BATA tena bali HAPA KAZI TUU..!
Haya mambo ya sasa ya watendaji kupishana kauli ama kila mmoja kuongea lake ni matokeo ya kauli mbiu ya hapa kazi tuu.. Na wala hayakuanza sasa..huu ni mwendelezo tuu toka enzi za mwendazake
Huu mgongano wa kauli na kulifungia gazeti la chama kwa siku saba ni matokeo yaleyale ya kukosekana mawasiliano, umoja na kujitambua kwamba nani anapaswa kufanya nini kusema nini na wapi! Nikikumbuka matamko ya watendaji wakati wa Magufuli nabaki tu kucheka...! Hakuna aliyekubali kuwa chini ya mwingine bali kila mmoja alijitahidi kutoa tamko kali kuliko mwenzake ili kumfurahisha bwana Mkubwa
Sakata la mchungaji Gwajima aliyeichokonoa serikali vilivyo limechukua sura mpya baada ya serikali kupitia waziri wa afya kutoa amri/agizo la kukamatwa Gwajima mchungaji na jeshi la polisi ambalo ni organ ya serikali
Mkuu wa jeshi la polisi bila fikra na tafakuri alipoulizwa kuhusu kukamatwa Gwajima alisema hajapata wito rasmi wa maandishi toka serikalini, lakini hata hivyo akaenda mbali na kutoa ushauri na maelekezo... Kwamba hata akipokea oda ya kumkamata Gwajima mchungaji basi wataangalia kama kuna jinai na kama basi ipo jeshi la polisi litashauri wamalizane kwa njia ya mazungumzo!
Kwanza mzee Sirro ajue kwamba hili si suala la ndugu wawili mtu na shemeji yake hata atoe ushauri 'wamalizane wenyewe' hili ni la kiserikali
Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop! Mengine yote aliyoongea hayakuwa mahali pake! Je wakati wa kayafa angefanya hivi?
Mawasiliano ya watendaji yanafanyika mitandaoni na bila kuwasiliana kwanza..yaani ni kama kuna kuoneshana ubabe na ujuaji!
LAKINI ukiachana na hayo yote kuna tatizo kubwa huko ndani, waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!
Kuna dharau juu ya wanawake inajitanabaisha hapa na kuna kikundi ndani ya mamlaka hakikubali kuongozwa na wanawake! Je Gwajima na Sirro ni sehemu yao?
Kwahiyo hutaki Weledi huo utumike kwa gwajima?Weledi wa jeshi letu ungekuwa hivyo basi mahabusu zetu zisingefurika watuhumiwa wala mahakama zetu zisingekuwa na msururu wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
KUDINDA linaweza lisisomeke vizuri! TUMIA NENO WELEDI!Mkuu naunga mkono hoja:
1. "Waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!"
2. "Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop!"
Alichokuwa kaongelea Waziri ilikuwa kumhoji Gwajima:
Kumwita akaja mwenyewe wakasalimiana na kisha Gwajiboy akaendelea na hamsini zake wakati wanaweka mambo ndani sawa, hata kama hakupenda kumkamata ilitosha sana. Ila sasa:
Gwajima, Sirro japo mmoja Ang'oke
a) sijapewa barua
b) hata nikipewa barua hadi njijiridhishe
c) mimi ninesikia mitandaoni tu
Ohooo. Hapo Sirro kwa maana nyingine kamdindia waziri. Kwa sababu zake kaidindia serikali.
Kumbe Sirro kidume cha mbegu!
Kazi ya fasihi