Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

[emoji1][emoji1][emoji1] Kwamba jembe lina tobo...! Na bila tobo wala mpini wa kuchomeka si lolote si chochote?
Kwamba mpini mpini una faida nyingi kwa maana ya matumizi bila jembe!?View attachment 1896418
Mkuu umetishaaa sanaa shida ni hilo tobo lazima lizibwe kwa kuchomekwa mpini hilo jiti kubwa na refuu ndo kazi ifanyike kwa ufasaha yaani KUWEZESHWA.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Weee Mzee inji hii ukiiwaza sana utachanganyikiwa, kuna kitu kinaitwa agenda denie hiyo walifaulu sana mataifa ya kijamaa, na kitu hii inafanya kazi sehemu nyingi hasa kwetu na siku wananchi wakistuka utaona moto wake, ndio maana inaitwa bandika bandua na ujue wako well calculated maaana tozo chali, katiba chali, mbowe atapewa dhamana na kuachiwa kisela maana marekani wamewavua nguo, maisha yanaendelea na hii ndio bongo ambayo kabla ya kuingia lazima upite maili moja
Siku hiz tunaitia msoga mambo ya mailmoja sio ishu tena
 
Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana.. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha
Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema kwamba hayakupewa kipaumbele zaidi ya watu kula bata kwa raha zao...Hakika usemi wa kazi na bata ulipata umaarufu sana kipindi kile..
Ukiachana na mapungufu ya ile semina lakini watendaji wale walitoka pale na kitu kikubwa sana! Kule kuwakutanisha nje ya taratibu zao za kawaida za majukumu ya kila siku kulisaidia sana kuwajenga na kuwaleta pamoja na kuwafanya kuwa kitu kimoja
Semina elekezi hizi ziliendelea kila wakati kwa kipindi chote cha utawala wa JK.. Hawa watendaji walipata nafasi ya ku relax, kupunguza uchovu,kutoa stress kufahamiana kwa karibu nje ya taratibu za kazi nknk

Baada ya Kikwete kumaliza muda wake alimkabidhi kijiti marehenu hayati Magufuli....Huyu alifuta kila kitu... Si senina elekezi wala makongamano makazini... Maono yake hayakuwa ya JK! Watendaji lile bata la JK likakoma na kuanza kutimiza majukumu yao kwa pressure kubwa..na hata kama kulikuwa na semina au kongamano kukawa tena hakuna bajeti za vyakula na kumbi za kukodi..mambo yaliishia idarani tena kwa maji na biskuti ikawa sasa sio KAZI NA BATA tena bali HAPA KAZI TUU..!

Haya mambo ya sasa ya watendaji kupishana kauli ama kila mmoja kuongea lake ni matokeo ya kauli mbiu ya hapa kazi tuu.. Na wala hayakuanza sasa..huu ni mwendelezo tuu toka enzi za mwendazake

Huu mgongano wa kauli na kulifungia gazeti la chama kwa siku saba ni matokeo yaleyale ya kukosekana mawasiliano, umoja na kujitambua kwamba nani anapaswa kufanya nini kusema nini na wapi! Nikikumbuka matamko ya watendaji wakati wa Magufuli nabaki tu kucheka...! Hakuna aliyekubali kuwa chini ya mwingine bali kila mmoja alijitahidi kutoa tamko kali kuliko mwenzake ili kumfurahisha bwana Mkubwa
Sakata la mchungaji Gwajima aliyeichokonoa serikali vilivyo limechukua sura mpya baada ya serikali kupitia waziri wa afya kutoa amri/agizo la kukamatwa Gwajima mchungaji na jeshi la polisi ambalo ni organ ya serikali

Mkuu wa jeshi la polisi bila fikra na tafakuri alipoulizwa kuhusu kukamatwa Gwajima alisema hajapata wito rasmi wa maandishi toka serikalini, lakini hata hivyo akaenda mbali na kutoa ushauri na maelekezo... Kwamba hata akipokea oda ya kumkamata Gwajima mchungaji basi wataangalia kama kuna jinai na kama basi ipo jeshi la polisi litashauri wamalizane kwa njia ya mazungumzo!
Kwanza mzee Sirro ajue kwamba hili si suala la ndugu wawili mtu na shemeji yake hata atoe ushauri 'wamalizane wenyewe' hili ni la kiserikali
Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop! Mengine yote aliyoongea hayakuwa mahali pake! Je wakati wa kayafa angefanya hivi?

Mawasiliano ya watendaji yanafanyika mitandaoni na bila kuwasiliana kwanza..yaani ni kama kuna kuoneshana ubabe na ujuaji!
LAKINI ukiachana na hayo yote kuna tatizo kubwa huko ndani, waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!
Kuna dharau juu ya wanawake inajitanabaisha hapa na kuna kikundi ndani ya mamlaka hakikubali kuongozwa na wanawake! Je Gwajima na Sirro ni sehemu yao?
BROTHER KAKA! Huu uzi ebu angalia namna ya kuuboresha au kuufuta!

Jeshi la polisi linapomkamata mtu, LAZIMA Limfikishe mahakamani kwa mujibu wa sheria!
Hivyo LAZIMA LIPELEKE USHAHIDI MAHAKAMANI!
Sasa linapokamata watu bila jinai, huko MAHAKAMANI Polisi watatoa ushahidi gani?
HALAFU NDO NYIE NYIE POLISI WAKIBANWA MBAVU HUKO MAHAKANI MNASEMA HAWANA AKILI YA KUTOA UTETEZI!

SIRRO YUPO Sahihi 100% ; Jeshi la polisi pamoja jukumu la ukamataji, lakini hutazama jinai kwanza, kama hakuna jinai hushauri njia nyingine!

KUWA NA NYUNDO haimaanishi Uue kila kitu kwa Nyundo! Wadudu kama Inzi zipo njia zingine za kuwaondoa! Ukitumia Nyundo unaweza hata kuvunja na meza yenyewe!

UZI WAKO UNACHONGANISHA JINSIA NAOMBA UFUTE KWA HESHIMA YAKO MJOMBA WANGU brother kaka

Polisi wanasubili yule mlalamikaji wa video ya ngono! Kama unamjua toa ushirikiano
 
Kwa kusoma hilo bandiko lako ni dhahiri shahiri ww umeegemea upande mmoja, jambo ambalo ni baya kwa mtu mwenye ueledi ambao nazan hauna. Unakumbuka enzi za lugola na yale matamko yake ya kijinga jinga kuamrisha polisi fanya hv fanya vile. Nini kilitokea? Kama hujui taratibu za kijeshi kaa kimya! Jeshi haliongozwi kwa matamko na mipasho juu ya majukwaa.. kama gwjima waziri anajua majukumu yake bas asingetamka huo ujinga kwenye majukwaa angekaa na vyombo vya usalama kisha waandae utaratibu wa kumfikisha kwenye mamlaka husika bishop gwajima ili kujibu hizo tuhuma.
Sasa ww nae huna tofaut na huyo gwajima wazir..unasifia sifia uongoz fulan na kukandia mwingine.
Kikubwa tu hutahasahau alichokufanya jpm. Mana alikuwa mwiba kwako hakika.
Pumzika mwamba umeacha alama.
 
Tuangalie hii hali kwa Jicho la tatu. Usisahau Gwajima ni mjengaji wa hoja. Usisahau ndiye alikshawishi EL kujiunga na Chadema 2015!
Si kila mara atapatia ..na ishu ya EL ilikuwa na viasili vingj
 
BROTHER KAKA! Huu uzi ebu angalia namna ya kuuboresha au kuufuta!

Jeshi la polisi linapomkamata mtu, LAZIMA Limfikishe mahakamani kwa mujibu wa sheria!
Hivyo LAZIMA LIPELEKE USHAHIDI MAHAKAMANI!
Sasa linapokamata watu bila jinai, huko MAHAKAMANI Polisi watatoa ushahidi gani?
HALAFU NDO NYIE NYIE POLISI WAKIBANWA MBAVU HUKO MAHAKANI MNASEMA HAWANA AKILI YA KUTOA UTETEZI!

SIRRO YUPO Sahihi 100% ; Jeshi la polisi pamoja jukumu la ukamataji, lakini hutazama jinai kwanza, kama hakuna jinai hushauri njia nyingine!

KUWA NA NYUNDO haimaanishi Uue kila kitu kwa Nyundo! Wadudu kama Inzi zipo njia zingine za kuwaondoa! Ukitumia Nyundo unaweza hata kuvunja na meza yenyewe!

UZI WAKO UNACHONGANISHA JINSIA NAOMBA UFUTE KWA HESHIMA YAKO MJOMBA WANGU brother kaka

Polisi wanasubili yule mlalamikaji wa video ya ngono! Kama unamjua toa ushirikiano
Weledi wa jeshi letu ungekuwa hivyo basi mahabusu zetu zisingefurika watuhumiwa wala mahakama zetu zisingekuwa na msururu wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
 
Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana.. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha
Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema kwamba hayakupewa kipaumbele zaidi ya watu kula bata kwa raha zao...Hakika usemi wa kazi na bata ulipata umaarufu sana kipindi kile..
Ukiachana na mapungufu ya ile semina lakini watendaji wale walitoka pale na kitu kikubwa sana! Kule kuwakutanisha nje ya taratibu zao za kawaida za majukumu ya kila siku kulisaidia sana kuwajenga na kuwaleta pamoja na kuwafanya kuwa kitu kimoja
Semina elekezi hizi ziliendelea kila wakati kwa kipindi chote cha utawala wa JK.. Hawa watendaji walipata nafasi ya ku relax, kupunguza uchovu,kutoa stress kufahamiana kwa karibu nje ya taratibu za kazi nknk

Baada ya Kikwete kumaliza muda wake alimkabidhi kijiti marehenu hayati Magufuli....Huyu alifuta kila kitu... Si senina elekezi wala makongamano makazini... Maono yake hayakuwa ya JK! Watendaji lile bata la JK likakoma na kuanza kutimiza majukumu yao kwa pressure kubwa..na hata kama kulikuwa na semina au kongamano kukawa tena hakuna bajeti za vyakula na kumbi za kukodi..mambo yaliishia idarani tena kwa maji na biskuti ikawa sasa sio KAZI NA BATA tena bali HAPA KAZI TUU..!

Haya mambo ya sasa ya watendaji kupishana kauli ama kila mmoja kuongea lake ni matokeo ya kauli mbiu ya hapa kazi tuu.. Na wala hayakuanza sasa..huu ni mwendelezo tuu toka enzi za mwendazake

Huu mgongano wa kauli na kulifungia gazeti la chama kwa siku saba ni matokeo yaleyale ya kukosekana mawasiliano, umoja na kujitambua kwamba nani anapaswa kufanya nini kusema nini na wapi! Nikikumbuka matamko ya watendaji wakati wa Magufuli nabaki tu kucheka...! Hakuna aliyekubali kuwa chini ya mwingine bali kila mmoja alijitahidi kutoa tamko kali kuliko mwenzake ili kumfurahisha bwana Mkubwa
Sakata la mchungaji Gwajima aliyeichokonoa serikali vilivyo limechukua sura mpya baada ya serikali kupitia waziri wa afya kutoa amri/agizo la kukamatwa Gwajima mchungaji na jeshi la polisi ambalo ni organ ya serikali

Mkuu wa jeshi la polisi bila fikra na tafakuri alipoulizwa kuhusu kukamatwa Gwajima alisema hajapata wito rasmi wa maandishi toka serikalini, lakini hata hivyo akaenda mbali na kutoa ushauri na maelekezo... Kwamba hata akipokea oda ya kumkamata Gwajima mchungaji basi wataangalia kama kuna jinai na kama basi ipo jeshi la polisi litashauri wamalizane kwa njia ya mazungumzo!
Kwanza mzee Sirro ajue kwamba hili si suala la ndugu wawili mtu na shemeji yake hata atoe ushauri 'wamalizane wenyewe' hili ni la kiserikali
Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop! Mengine yote aliyoongea hayakuwa mahali pake! Je wakati wa kayafa angefanya hivi?

Mawasiliano ya watendaji yanafanyika mitandaoni na bila kuwasiliana kwanza..yaani ni kama kuna kuoneshana ubabe na ujuaji!
LAKINI ukiachana na hayo yote kuna tatizo kubwa huko ndani, waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!
Kuna dharau juu ya wanawake inajitanabaisha hapa na kuna kikundi ndani ya mamlaka hakikubali kuongozwa na wanawake! Je Gwajima na Sirro ni sehemu yao?

Mkuu naunga mkono hoja:

1. "Waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!"
2. "Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop!"

Alichokuwa kaongelea Waziri ilikuwa kumhoji Gwajima:

Kumwita akaja mwenyewe wakasalimiana na kisha Gwajiboy akaendelea na hamsini zake wakati wanaweka mambo ndani sawa, hata kama hakupenda kumkamata ilitosha sana. Ila sasa:

Gwajima, Sirro japo mmoja Ang'oke

a) sijapewa barua
b) hata nikipewa barua hadi njijiridhishe
c) mimi ninesikia mitandaoni tu

Ohooo. Hapo Sirro kwa maana nyingine kamdindia waziri. Kwa sababu zake kaidindia serikali.

Kumbe Sirro kidume cha mbegu!
 
Nahisi sirro amechoka kuwa kichaka kwa maovu ya wa2 wengne watakao mgeuka kutetea ugali wao.hii inajidhihrxha waz! Bcoz yeye katoa msimamo kama yeye na familia yake yaan kanisa.sasa wewe unatafuta nini? Na kipi kinakuwasha kufuatilia na kumkamata ni kumpa umaharufu.mwisho wa siku gwajma atakuwa rais.na rais kashashtukia hlo
 
Weledi wa jeshi letu ungekuwa hivyo basi mahabusu zetu zisingefurika watuhumiwa wala mahakama zetu zisingekuwa na msururu wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
Kwahiyo hutaki Weledi huo utumike kwa gwajima?
Kama kuna makosa je; unapenda polisi iendeleze makosa?
 
Mkuu naunga mkono hoja:

1. "Waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!"
2. "Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop!"

Alichokuwa kaongelea Waziri ilikuwa kumhoji Gwajima:

Kumwita akaja mwenyewe wakasalimiana na kisha Gwajiboy akaendelea na hamsini zake wakati wanaweka mambo ndani sawa, hata kama hakupenda kumkamata ilitosha sana. Ila sasa:

Gwajima, Sirro japo mmoja Ang'oke

a) sijapewa barua
b) hata nikipewa barua hadi njijiridhishe
c) mimi ninesikia mitandaoni tu

Ohooo. Hapo Sirro kwa maana nyingine kamdindia waziri. Kwa sababu zake kaidindia serikali.

Kumbe Sirro kidume cha mbegu!
KUDINDA linaweza lisisomeke vizuri! TUMIA NENO WELEDI!
Sirro Katumia WELEDI Kama chombo cha HAKI
 
Hoja kubwa ni maslai, pili kama gwajiboy atakamatwa ujue moto utakaowaka watashndwa kuuzima na pressure hii itakuwa sawa na ya mboe
 
Leta mifano chinga maisha yaende sawa

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile
Kazi ya fasihi
images (6).jpeg
download.jpeg
 
Back
Top Bottom