Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

Feminism[emoji23] kwani yeye ni nani mpaka aniamrishe!
 
Kwahiyo hutaki Weledi huo utumike kwa gwajima?
Kama kuna makosa je; unapenda polisi iendeleze makosa?
Hapana hakuna niliposema hivyo. Na hata kama ni majibu kwa waandishi..Sirro kachemka big time...kuna mawasiliano ya watendaji na kiutendaji na kuna mawasiliano ya watendaji na jamii/hadhira.. Na ndio maana mada yangu nilianzia mbali nikitoa ufafanuzi na mifano ya semina elekezi
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848]
Hoja kubwa ni maslai, pili kama gwajiboy atakamatwa ujue moto utakaowaka watashndwa kuuzima na pressure hii itakuwa sawa na ya mboe
 
Gwajima atakuwa Rais?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hutaki Weledi huo utumike kwa gwajima?
Kama kuna makosa je; unapenda polisi iendeleze makosa?
Nakumbuka Makonda amewahi kuwaagiza polisi kumkamata Mbowe baada ya kumtaja kwenye orodha ya madawa ya kulevya. Sirro hakusubiri maandishi. Makonda huyohuyo akaagiza Aabdul Nondo akamatwe kwa tuhuma za kujiteka. Sirro hakusubiri maandishi, licha ya kwamba yalikua maelekezo ya Mkuu wa mkoa tu. Leo Waziri katoa maelekezo anasema anasubiri maandishi?

Anyway ni barua gani Sirro alipewa kuwakamata vijana wa Chadema waliokua ibadani huko Mwanza juzi jumapili? Je Sirro alipewa barua na nani kumkamata Askofu Mwamakula na Prof.Azavel Lwaitama usiku wa manane hotelini kama majambazi na kuwaweka rumande bila hatia? Sirro alipewa barua na nani kuwakamata vijana wanaokwenda mahakamani kufuatilia kesi ya Mwenyekiti Mbowe? Why these double standards?

Credit: Malisa GJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…