Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imemfuatilia huyu ngoma zake ..hasa hii ya sasa kali sana..
Tatizo ni nini. Media zinmpotezea ... Hana promo... Au management.
Au upepo wa kiba na mondi unawaficha kama hawa.
Sikia ngoma hii kali... Visiwani.
Nafikiri hivyo pia... Ila nafikiri hajui alichonacho..Hayupo karibu na media hua anatoa ilimradi.Nadhani mziki kwake sio kazi anafanya kwa mapenzi tu
Sio kwamba hayupo karibu na media..Bali Future ni mtu mwenye self esteem mno na hua hawezi nyenyekea ili apate jambo Fulani..ana ushamba Wa kisukuma..very arrogant anataka media personnel wamfuate na kumtafuta!Hayupo karibu na media hua anatoa ilimradi.Nadhani mziki kwake sio kazi anafanya kwa mapenzi tu
Aache ushamba basi....Sio kwamba hayupo karibu na media..Bali Future ni mtu mwenye self esteem mno na hua hawezi nyenyekea ili apate jambo Fulani..ana ushamba Wa kisukuma..very arrogant anataka media personnel wamfuate na kumtafuta!
Yuko mwanza anafugwa huko! nadhani akiacha "tabia zake" zileeee "Fulani Fulani" atafika mbali (Kwa Leo namstahi! sizisemi kwakua kafiwa na msukuma mwenzake kaoge!)
staki maswali!
Tatizo ana jina baya sana angejiita hata masanja hakika angetokaJamaa ana ngoma kali sana toka naskia kubari twende, sema ndiyo hivyo hawajampa promo ya kutosha
Haaa Beira we huoni kajiita future yani yeye ndiye kesho ya Bongo flevaTatizo ana jina baya sana angejiita hata masanja hakika angetoka
Imemfuatilia huyu ngoma zake ..hasa hii ya sasa kali sana..
Tatizo ni nini. Media zinmpotezea ... Hana promo... Au management.
Au upepo wa kiba na mondi unawaficha kama hawa.
Sikia ngoma hii kali... Visiwani.
Amin nakwambia jina ndo linalomwangushaHaaa Beira we huoni kajiita future yani yeye ndiye kesho ya Bongo fleva
Watu wanajiita hadi matonya mkuu bado walitoboa, hadi mb doggyAmin nakwambia jina ndo linalomwangusha