Huyu Future JNL ni gundu au!? Kwanini hatoki..!?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Imemfuatilia huyu ngoma zake ..hasa hii ya sasa kali sana..

Tatizo ni nini. Media zinmpotezea ... Hana promo... Au management.

Au upepo wa kiba na mondi unawaficha kama hawa.

Sikia ngoma hii kali... Visiwani.
 
Hayupo karibu na media hua anatoa ilimradi.Nadhani mziki kwake sio kazi anafanya kwa mapenzi tu
 
Jamaa ana ngoma kali sana toka naskia kubari twende, sema ndiyo hivyo hawajampa promo ya kutosha
 
Hayupo karibu na media hua anatoa ilimradi.Nadhani mziki kwake sio kazi anafanya kwa mapenzi tu
Nafikiri hivyo pia... Ila nafikiri hajui alichonacho..

Na hajui kama ana mashabiki wengi sasa hasa kwa ngoma hii. Huenda mambo safi hivyo hawezi jipendekeza au jishusha.

Aache shobo basi. Mziki wake ni unique na mkali sana.
 
huu wimbo umepigwa sn stations mbalimbali video ndo ilikuwa bdo ila promo alipewa ya kutosha ya audio yake
 
Hayupo karibu na media hua anatoa ilimradi.Nadhani mziki kwake sio kazi anafanya kwa mapenzi tu
Sio kwamba hayupo karibu na media..Bali Future ni mtu mwenye self esteem mno na hua hawezi nyenyekea ili apate jambo Fulani..ana ushamba Wa kisukuma..very arrogant anataka media personnel wamfuate na kumtafuta!

Yuko mwanza anafugwa huko! nadhani akiacha "tabia zake" zileeee "Fulani Fulani" atafika mbali (Kwa Leo namstahi! sizisemi kwakua kafiwa na msukuma mwenzake kaoge!)

staki maswali!
 
Aache ushamba basi....
 
yuko vizuri sana hasa hii visiwani na without you nazikubali sana
 
kwanini usitafute habari za hiyo kesi kwenye mitandao uzisome kabla hujafungua thread ?
 
Imemfuatilia huyu ngoma zake ..hasa hii ya sasa kali sana..

Tatizo ni nini. Media zinmpotezea ... Hana promo... Au management.

Au upepo wa kiba na mondi unawaficha kama hawa.

Sikia ngoma hii kali... Visiwani.

Huyu dogo yupo vema sana tatizo promo....ila nyimbo hii naisikia sana tune in kupitia Choice FM 102.5 kwa hapo tz
 
Sawa, labda mnifahamishe kwa mfano kwenye huu wimbo, kaimba kuhusu nini?
 
Back
Top Bottom