Huyu Future JNL ni gundu au!? Kwanini hatoki..!?

Mkuu mbona anaimba kawaida mno?!

Au ni ndugu yako wa damu?!
 
Mkuu mbona anaimba kawaida mno?!

Au ni ndugu yako wa damu?!
Hujui mziki dogo...

Wimbo huu unaweza chezwa int. Arena na watu wakaomba replay..

Umezoea singeli ww.
 
huyu dogo yuko vizuri sana ila naona nyota ndiyo tatizo
 
Jina ni tatizo ukisema Future picha inayonijia kichwani ni ya msanii wa marekani
 
Aisee
 
Hakuna msanii ninae mkubali.
Kama y Tony. Simu yangu ina nyimbo zake zote
 
Tatizo Ni nyota ...naomba nirudie Tatizo Ni nyota.
Unaweza ukakohoa Kwenye nyimbo ukakuta kesho mpaka mchina anaisikiliza .
Tatizo Ni nyota yako inang'aa kiasi gani .kuna wengine nyota zilishagundulika zinang'aa tangu zamani Na zilipogundulika zilichukuliwa Na ulichobakia nacho Ni kitu cha mtu mwingi lakini hisia zako ziko Kwenye nyota iliyotoka .
Kwahiyo unajihisi always you can do more than best .

Ndio maana wasaanii wengi wakubwa kucha Kwa waganga kulinda nyota zao au kuziongezea nguvu .

Haya mambo yapo
mvuto unahitajika Kwenye kila kitu unachofanya ili ufanikiwe .
 
Huna lolote unalojua zaidi ya kutaka kumchafua
 
Imemfuatilia huyu ngoma zake ..hasa hii ya sasa kali sana..

Tatizo ni nini. Media zinmpotezea ... Hana promo... Au management.

Au upepo wa kiba na mondi unawaficha kama hawa.

Sikia ngoma hii kali... Visiwani.


Nice video too
 
Huyo dogo anajua, ile kubali twende ilikuwa balaa zaidi. Pia kuna mwingine anaitwa MIRROR, pamoja na kuwa under Wema Sepetu ila nyota iligoma kabisa ingawa alikuwa anaweza sana
 

Aisee kwa hiyo jamaa kibaiskeli?? . Kinaendeshwa huko mwanza?
 
Acha ugay wako mkuu huku sisi hatu feel minduku
unanikosea adabu..kwanini kinakuuma sana? wewe ndio JNL? basi acha ungese na ukiendelea kuni provoke ntachafua hali ya hewa nikuharibie weekend yako kabisa!! better behave otherwise you'll face the quoncequences..
 
Mtoto wa kishua huyo but ngoma yake kali sana
 
Au ana hela!? Amegoma lamba viatu vya aRuge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…