Msukuma_De_Great
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 1,185
- 972
Yeye si ndio msanii mwenye video kari kuliko wasanii wote wa mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeSio kwamba hayupo karibu na media..Bali Future ni mtu mwenye self esteem mno na hua hawezi nyenyekea ili apate jambo Fulani..ana ushamba Wa kisukuma..very arrogant anataka media personnel wamfuate na kumtafuta!
Yuko mwanza anafugwa huko! nadhani akiacha "tabia zake" zileeee "Fulani Fulani" atafika mbali (Kwa Leo namstahi! sizisemi kwakua kafiwa na msukuma mwenzake kaoge!)
staki maswali!
Huna lolote unalojua zaidi ya kutaka kumchafuaSio kwamba hayupo karibu na media..Bali Future ni mtu mwenye self esteem mno na hua hawezi nyenyekea ili apate jambo Fulani..ana ushamba Wa kisukuma..very arrogant anataka media personnel wamfuate na kumtafuta!
Yuko mwanza anafugwa huko! nadhani akiacha "tabia zake" zileeee "Fulani Fulani" atafika mbali (Kwa Leo namstahi! sizisemi kwakua kafiwa na msukuma mwenzake kaoge!)
staki maswali!
Imemfuatilia huyu ngoma zake ..hasa hii ya sasa kali sana..
Tatizo ni nini. Media zinmpotezea ... Hana promo... Au management.
Au upepo wa kiba na mondi unawaficha kama hawa.
Sikia ngoma hii kali... Visiwani.
Sio kwamba hayupo karibu na media..Bali Future ni mtu mwenye self esteem mno na hua hawezi nyenyekea ili apate jambo Fulani..ana ushamba Wa kisukuma..very arrogant anataka media personnel wamfuate na kumtafuta!
Yuko mwanza anafugwa huko! nadhani akiacha "tabia zake" zileeee "Fulani Fulani" atafika mbali (Kwa Leo namstahi! sizisemi kwakua kafiwa na msukuma mwenzake kaoge!)
staki maswali!
Nimchafue ili niwe na akili kama za huyo kwenye avatar yako? unawashwa!?Huna lolote unalojua zaidi ya kutaka kumchafua
Acha ugay wako mkuu huku sisi hatu feel mindukuNimchafue ili niwe na akili kama za huyo kwenye avatar yako? unawashwa!?
unanikosea adabu..kwanini kinakuuma sana? wewe ndio JNL? basi acha ungese na ukiendelea kuni provoke ntachafua hali ya hewa nikuharibie weekend yako kabisa!! better behave otherwise you'll face the quoncequences..Acha ugay wako mkuu huku sisi hatu feel minduku