Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

ni mtu mtu flan wa makamo ambae ameishi tz kwa mda lakini uraia wake anaujua ye mwenyewe ngoja nisimsemee atajibu mwenyewe akija
 
umeamua kujifungulia uzi mwenyewe na kujisifia ? kweli multiple IDs hazijawahi kumuacha mtu salama....
huyo unaemsifia ambaye ni wewe ni ndezi tu
Wadau msimlaumu mtu huyu. Mimi ni mtu mwingine na sio Gentamycine. Nipo srious.
 
huyo jamaa ni mkimbizi flan iv kutoka burundi...!!!!
 
Great thinkers discuss ideas but great sinkers discuss people,
 
Wadau habari zenu.

Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.

Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.


Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
Mbona huu kama ni mwandiko wake!
 
Back
Top Bottom