Mbona ameokoa Moja? Laumu wapigaji (Calvin na Mahadhi) .Kwa kweli nihuyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. anahamishwa kirahisi kama furushi LA gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa
Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu
hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
Kwa kweli nihuyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. anahamishwa kirahisi kama furushi LA gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa
Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu
hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
ngoma drooMbona ameokoa Moja? Laumu wapigaji (Calvin na Mahadhi) .
Manura naye kaokoa moja tu.
Acha tarabu zingatia goal keeper wa simba ameona zaidi ya mipira minne na kuto mmoja. Huyu wa yanga mmoja tu ndiyo kauona..!Unayemsifia kaokoa mchomo mmoja, unayemnanga naye hivyo hivyo kaokoa mchomo mmoja...
Kama utakua unajua hisabati, ukikokotoa ufanisi hapo kwa makipa wote utalingana...
Walifungwa penati kina Chilavet, Tafarel, Zubizareta, Kahn etc na bado waliitwa manyanda bora
Kamusoko kamfanya kitu mbaya Manula.. Panenka style zinapigwa na mafundi wa soka...ila huyu Mahadhi si mjukuu wa kipa mahiri wa simba miaka ya sabini ..agent wa simba huyu na Yondani
Kwa kweli nihuyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. anahamishwa kirahisi kama furushi LA gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa
Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu
hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
Na wewe ni mmbongo eeeh?Aya ndo matatizo ya kibongo kujifanya kujua kila kitu nakuponda vingine wakati hatuna uwezo.Kwenye mpira unashangaa kila mbongo ni kocha au mchezaji wengine wanamkosoa hadi messi kumbe ata danadana hawajui.Ndugu yangu penati hazina ujanja,maana asilimia 99 ya penat ni goli iyo asilimia 1 iliyobaki ambayo magolikipa wanaitumia inakua ni makosa ya mpigaji.kwaiyo kwenye penat ni ushamba kumlaumu golikipa.ata hivyo nikukumbushe tu kua umahiri wa golikipa unategemeana na mabeki alionao.