Kwa kweli huyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. Anahamishwa kirahisi kama furushi la gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa. Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu.
Hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
Hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.