Huyu Golikipa wa Yanga amechukuliwa kwa mkopo au tumelipa cash?

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Kwa kweli huyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. Anahamishwa kirahisi kama furushi la gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa. Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu.

Hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
 
Kwa kweli nihuyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. anahamishwa kirahisi kama furushi LA gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa
Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu

hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
Mbona ameokoa Moja? Laumu wapigaji (Calvin na Mahadhi) .
Manura naye kaokoa moja tu.
 
Unayemsifia kaokoa mchomo mmoja, unayemnanga naye hivyo hivyo kaokoa mchomo mmoja...

Kama utakua unajua hisabati, ukikokotoa ufanisi hapo kwa makipa wote utalingana...

Walifungwa penati kina Chilavet, Tafarel, Zubizareta, Kahn etc na bado waliitwa manyanda bora
Kwa kweli nihuyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. anahamishwa kirahisi kama furushi LA gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa
Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu

hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
 
Aya ndo matatizo ya kibongo kujifanya kujua kila kitu nakuponda vingine wakati hatuna uwezo.Kwenye mpira unashangaa kila mbongo ni kocha au mchezaji wengine wanamkosoa hadi messi kumbe ata danadana hawajui.Ndugu yangu penati hazina ujanja,maana asilimia 99 ya penat ni goli iyo asilimia 1 iliyobaki ambayo magolikipa wanaitumia inakua ni makosa ya mpigaji.kwaiyo kwenye penat ni ushamba kumlaumu golikipa.ata hivyo nikukumbushe tu kua umahiri wa golikipa unategemeana na mabeki alionao.
 
Acha tarabu zingatia goal keeper wa simba ameona zaidi ya mipira minne na kuto mmoja. Huyu wa yanga mmoja tu ndiyo kauona..!
 
Kwa kweli nihuyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. anahamishwa kirahisi kama furushi LA gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa
Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu

hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.

Mkuu angalia kipa wa chelsea vs arsenal ngao ya hisani halafu uje na uchambuzi wako wa kipumbavu.Hujui mpira wewe
 
Katika upigaji wa penalty Ni ukweli uliowazi Kuwa yanga hakuna wapigaji wazuri wa penalty ukiangalia karibu penalty zote sita zilikuwa zinaenda juu tofauti na wapigaji wa timu ya simba ambao ukitazama vyema katika motion zako walionekana kumhadaa sana kipaji wa yanga na huo ndio ufundi wa upigaji huwezi kumlaumu kipa
 
Aya ndo matatizo ya kibongo kujifanya kujua kila kitu nakuponda vingine wakati hatuna uwezo.Kwenye mpira unashangaa kila mbongo ni kocha au mchezaji wengine wanamkosoa hadi messi kumbe ata danadana hawajui.Ndugu yangu penati hazina ujanja,maana asilimia 99 ya penat ni goli iyo asilimia 1 iliyobaki ambayo magolikipa wanaitumia inakua ni makosa ya mpigaji.kwaiyo kwenye penat ni ushamba kumlaumu golikipa.ata hivyo nikukumbushe tu kua umahiri wa golikipa unategemeana na mabeki alionao.
Na wewe ni mmbongo eeeh?
Naona upo kweny benchi la ufundi la RM
 
Back
Top Bottom