Huyu governor aliyeamua kwenda mafichoni anastahili kupewa bail kweli?

What you think ka Gavana ambaye ana historia ya ujambazi!
 
Unaongea mambo ya bail na mtuhumiwa hajulikani alipo je kama kajiua? Mbona akili zenu zina matobo hivi? Na kujiwasilisha ndio nini?
 
Kawaida ya bail, kwenye bailable offences(murder sio bailable offence), huwa ni kwa upendo wa hakimu(judges discretion). Upande wa mashtaka pia lazima uthibitishe kwamba mshukiwa ni 'flight risk'. Bail ni haki ya kila mkenya, kisheria chini ya katiba mpya. Ndio maana hakimu akikupa bail shingo upande huwa inaandamana na masharti kama kuwasilisha pasipoti kwa vitengo vya usalama. Au hakimu aagize kwamba mshukiwa asitoke nje ya radius flani km. nyumbani kwako, kijiji, mji au gatuzi unaloishi. Kitendo cha gavana Waititu kutoweka kitawapa upande wa mashtaka kazi rahisi sana ya kumshawishi hakimu asimpe bail. Au akimpa bail iandamane na masharti makali ambayo yatamzuia kuendelea na shughuli zake za kawaida. Hakimu anaweza akanyimana bail pia iwapo upande wa mashtaka utamshawishi kwamba mshukiwa atavuruga kesi kwa kuwatishia mashahidi au kuharibu evidence ambayo ipo au bado haipo kwenye mikono ya vitengo vya usalama. Hamna double standards kwenye sheria, wala hisia za watu huwa hazizingatiwi kwenye hukumu.
 
Anazidi kujiharibia, na aombe kesi yake isisimamiwe na baadhi ya majaji au mahakimu ambao wamejitokeza kupigana na ufisadi.
Kizuri ni taswira mpya inayoanza kuonekana, maana magavana na viongozi wengine wote wanajionea kinachotendeka na imewapa uwoga wa pesa za umma. Utaiba na kujenga majengo ya kifahari lakini siku utaanza kukimbizwa, utakimbia mwenyewe na mkeo.
 
Huyo governor mwenye alimpa ushauri kuwa atokomee hadi Monday asubuhi alimpa ushauri mbaya. Governor anajaribu kuavoid spending time in jail over the weekend. Lakini inaweza backfire on his face. Kuanzia zamani huyu governor huwa anadhani yeye ni mjanja sana.
 
You overeating that pile of nonsense way higher

What the hell is this? Yaani wewe unaandika kisukuma ukidhani unaandika kiingereza? Ninyi mnaeza aibisha mtu sana. Hata mtu akiandaa party ya watu mashuhuri halafu afanye makosa ya kualika Mtanzania kama REDEEMER basi ataregret sana. REDEEMER atashangaza wageni kwa kiingereza kisichoeleweka. Itambidi host ndio awe translator. Yaani REDEEMER anasema kwa kiswahili au kisukuma naye host anatafsiri kwa kiingereza. Ukimwacha REDEEMER aongee na wageni, atashangaza watu na kuaibisha host. Watu watauliza huyu ameokotwa kutoka msitu gani?
[/QUOTE]
 
Huu ni upuuzi Wa DPP. Kwani hawezi akangoja jumatatu kesi iamuliwe? Huu upuuzi Wa populism wafaa ukome.
 
Governor ameamua kutoka mafichoni. Amejiwasilisha kwa makachero sasa hivi. Mke wake bado anaendelea kujificha hadi kesho asubuhi.
 
[/QUOTE]
Are you OK? What are you talking?
Of course you can't argue with me with your limited range of mediocrity. Beef up your zero medulla then come back.
 
Huu ni upuuzi Wa DPP. Kwani hawezi akangoja jumatatu kesi iamuliwe? Huu upuuzi Wa populism wafaa ukome.
DPP wenu ni Mpumbavu, nilimfanyia instant assessment that day he brought the consignments nikaona hamna mtu pale.
 
Huu ni upuuzi Wa DPP. Kwani hawezi akangoja jumatatu kesi iamuliwe? Huu upuuzi Wa populism wafaa ukome.
Populism kivipi boss, sheria ni msumeno na huwa haimgonji mtu. Iwe weekend au weekday haijalishi warrant ya kukamamtwa ikishatiwa saini na hakimu hata uwe unaomboleza utakamatwa tu. Mshukiwa hata awe gavana, chini ya sheria ni mshukiwa tu kama wale wengine.
 
Unaongea mambo ya bail na mtuhumiwa hajulikani alipo je kama kajiua? Mbona akili zenu zina matobo hivi? Na kujiwasilisha ndio nini?
Unaelewa kinachojadiliwa? Kwani mleta mada ndio amejitungia hadithi za bail? Mtu akijiua ndio inamaanisha nini, kwamba jua halitatua na shughuli zingine hazitaendelea?
 

Hakuna warant of arrest hapo. Ni DPP aliyepeana order akamatwe. Hakuna Korti iliyopeana warrant of arrest. Tatizo la wakenya wengi ni kuwa wanataka kuona washukiwa wanaaibishwa na kulala rumande. Baada ya hapo, kesi mbovu italetwa mbele ya mahakama watu waachiliwe. Kesi ya Kabura imefika wapi? Kesi ya NYS 2 imefika wapi? Kesi ya Ukora ulioendelea Supreme court imefika wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…