The facts state otherwise. EACC ndio wasilisha ushahidi dhidi ya Waititu kwa DPP. DPP naye hakuwa na budi ila kupeana warrant of arrest na warrant of arrest huwa inatiwa saini tu na hakimu. Document yenyewe huwa inafanyiwa drafting na ofisi ya DPP. DPP ndio huwa anapatiana warrant of arrest sio hakimu. Vitengo vya usalama navyo vina'implement' warrant yenyewe. Baada ya hapo mahakama inachukua usukani. Yote yalianza kwa EACC. You are obviously biased where the DPP is concerned. Ndio athari kuu ya kuingiza siasa kwenye masuala muhimu kama haya.
Hapa kwa kweli sielewi ni kwanini unapingana kuhusu jambo ambalo liko kwa public domain. La kwanza, ni wapi umeona nikileta siasa? Yaani tayari ushajijazia kuwa niko biased dhidi ya DPP eti kisha nimemkosoa? Hamna warrant of Arest hapo. Ni hakimu gani aliyetoa warrant of arrest hiyo? Twitter ya DPP yenyewe inasema hapa. Soma ukurasa wa tatu unasema "Accordingly, I direct that the following be arrested". Kuna neno warrant of arrest hapo? Kuna jina la hakimu yeyote hapo?