Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Una akili mkuu
 
Mbona sauti aiendani na ya "kimada"?ebu acheni utani jamani...yule ni Wema tuuuu!
 
Mungu ibariki Tanzania .
 
Reactions: BAK
Afadhali sahizi roho zetu zimetulia.
Maana walitaka kumchafua Mwenyekiti.
Hapa hakuna ubishi sauti ndo ileile ya Wema.
Na Mpoki ndiye aliyeiga sauti ya Mwenyekiti.
Hawa waigizaji wanaweza kuhalibu heshima na ndoa za watu.
Asante mleta mada, maana umemaliza kitendawili kilichotuweka kwenye taharuki na sintofahamu.
We mpoki wewe...ohoo...
Shauri Lako.
 
Hahahaha. .kweli mkuu

Yule "anaweza kuwa mpoki"
 
ile audio ya Mbowe na Wema ni ya ukweli kabisa ndio maana mods hawakuutoa ule uzi achene upuuzi nyie
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…