Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
[emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1] [emoji1787]Waliambulia manyoya walikesha kushangilia ushindi wiki nzima kosa wangekua wanapumzika na kulala tu,
πππna mimi ni mzambia Baba wa FamiliaKinana na rage ni wasomali,rostam ni mhindi,zambia walikuwa na rais mzungu,hata mimi ni mwarabu na ni diwani
Kula tanoKinana na rage ni wasomali,rostam ni mhindi,zambia walikuwa na rais mzungu,hata mimi ni mwarabu na ni diwani
Ngoja ufike waziri watakuita majina ya kila ainaKinana na rage ni wasomali,rostam ni mhindi,zambia walikuwa na rais mzungu,hata mimi ni mwarabu na ni diwani
π€£Amesema wazazi walihamia uingereza wakitokea tz mnamo miaka ya 60 huko na jamaa amezaliwa miqka ya 80 huko uingeleza soma vizuriπ€£
Niliona πππYule mshindi wa Noble prize nae hadi kaalikwa eti tunajivunia mambo ya ajabu sana,
Hawana unasaba wowote ni Wahindi walioishi huko basi[emoji1787]
[emoji1787] Sasa hapo wana unasaba gani na Tanzania[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lugha ngumu
Mpaka ucahguzi halafu wanaweka mwingineAtajiuzulu ndani ya mwaka mmoja
Hamtaki uraia pacha ila mnapenda shobo kwa watu wenye kaharufu tu ka utanzania.
Wabongo tunadandiaga magari Kwa mbele kaka tukiskia TU hata kama alipita bongo baasi tunaunga tela[emoji3526][emoji3526][emoji3526]Huyo jamaa ni Muingereza mwenye asili ya India. Sidhani kama Tanzania inahusika kwa lolote na uraia/asili yake.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Babu yake yupo magomeni mapipa..View attachment 2396596
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Wabongo tunadandiaga magari Kwa mbele kaka tukiskia TU hata kama alipita bongo baasi tunaunga tela[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
[emoji3526][emoji3526][emoji3526]hahahahaha tunaongozaaWatanzania kwa kujikomba
Ni unafiki tuHamtaki uraia pacha ila mnapenda shobo kwa watu wenye kaharufu tu ka utanzania.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]π π π kwa hiyo kwa taarifa hii Wakenya (tena nasikia ni mjaluo) wameshinda kwa kutawala mataifa makubwa wamebakisha Vatican tu
[emoji2][emoji2]umenikumbusha mbaali Sanaa yaani ndo zetu Hizo ...yaani hatuna msaada na watu wakifanikiwa tunaanza kuwagoogle na kujisifu wa kwetu....wakenya wametuharibu sanaKwani umesahau ngoma inapita mtaani mdundiko hujui sherehe ya nani na hujui inaishia wapi, chap chap ushaunga msafara kama ndugu itakoishia ndio huko huko
Na USA ni Arusha tu hapo!Inawezekana sijui iko wapi ila bingo kuna mitaa inaitwa Ohio
Au hujawahi sikia Arusha huko kuna watu wa Iraq