Huyu hapa kocha (mpya wa muda) wa Simba

Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
 
Huyu ndio kocha Sasa rangi rangi Hadi usoni kuonyesha yupo tayari,haya twendeeeee....yanga ipo siku nanyi mtaingia kwenye mfumo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…