Huyu hapa kocha (mpya wa muda) wa Simba

Huyu hapa kocha (mpya wa muda) wa Simba

Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Kama ndio hivi basi hakuna dawa
 
Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Hv yule mtaalamu wa kuscout wachezaji aliishia wapi?
 
Inamaana mpango wa kufungwa na kitimuliwa Robetinho ulijulikana maana kocha amesepeshwa leo na tayari huyu yupo
Na wewe umetokea Kijiji gani?

Si ukae kimya km hufuatilii mpira na hujui chochote?

NITAKOSEA KM SITAKUSAIDIA: Huyu awali alikuwa kocha wa makipa pale Azam FC benchi la ufundi likafukuzwa akaajiriwa simba km kocha wa viungo.

Lkn pia ana leseni ya ukocha inayotambulika na UEFA na caf.

So si Kwamba jaajiriwa baada ya RTinho kufukuzwa.

Nb: kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
 
Nikurekebishe Mkuu: Huyu Cadena awali alikuwa Simba kama Kocha wa magolikipa na sio wa viungo.
 
Watafukuza makocha mpaka Basi, tatizo liko kwa wachezaji na upepo kwao umekaa vibaya, ni swala la muda tu.
 
“Maeneo ambayo wengine hawawezi kuziona hadi wawe kwenye hatua nyingine.”
Ulisema mwenyewe b…
Lols! Nimecheka sana kwa kweli. Hata sijui niliimaanisha hatua nyingine ipi.

Ova
 
Na wewe umetokea Kijiji gani?

Si ukae kimya km hufuatilii mpira na hujui chochote?

NITAKOSEA KM SITAKUSAIDIA: Huyu awali alikuwa kocha wa makipa pale Azam FC benchi la ufundi likafukuzwa akaajiriwa simba km kocha wa viungo.

Lkn pia ana leseni ya ukocha inayotambulika na UEFA na caf.

So si Kwamba jaajiriwa baada ya RTinho kufukuzwa.

Nb: kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
Haya nieleze na hili. Ni kweli mmepigwa 5 kwa vumbi la kongo au mafuta ya Parachute?. Huku kijijini hatujui
 
Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana

1.. Mwenyekiti mangungu.
2.Try again.
3 Bodi ya wakurugenzi
4 Management.
5 .Benchi la ufundi lote.
6 Washauri wa Bodi.
7 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
 
Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Wewe sio ndio ulituaminisha kua Simba balaa wakiamua lao.

Ukaenda mbali kwa kusema kua wale wajumbe waliochaguliwa juzi ni kiboko ya utopolo na baadhi ya timu kwenye ligi.

Leo mbona unatafuta huruma na kukataa maneno yako?
 
Rejea hapo number 10 utaelewa kila kitu
 
Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Umeongea kikubwa kula 5
 
Back
Top Bottom