ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kama ndio hivi basi hakuna dawaTatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Lol! Watachora wapi kwani b...? Nimecheka sana jamani.Kama zile ambazo 555 watachora, Lol
Hv yule mtaalamu wa kuscout wachezaji aliishia wapi?Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Kapakatw...eeSi upake na wewe.
Shobo za kike!
Na wewe umetokea Kijiji gani?Inamaana mpango wa kufungwa na kitimuliwa Robetinho ulijulikana maana kocha amesepeshwa leo na tayari huyu yupo
Nikurekebishe Mkuu: Huyu Cadena awali alikuwa Simba kama Kocha wa magolikipa na sio wa viungo.Na wewe umetokea Kijiji gani?
Si ukae kimya km hufuatilii mpira na hujui chochote?
NITAKOSEA KM SITAKUSAIDIA: Huyu awali alikuwa kocha wa makipa pale Azam FC benchi la ufundi likafukuzwa akaajiriwa simba km kocha wa viungo.
Lkn pia ana leseni ya ukocha inayotambulika na UEFA na caf.
So si Kwamba jaajiriwa baada ya RTinho kufukuzwa.
Nb: kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
“Maeneo ambayo wengine hawawezi kuziona hadi wawe kwenye hatua nyingine.”Lol! Watachora wapi kwani b...? Nimecheka sana jamani.
Ova
Lols! Nimecheka sana kwa kweli. Hata sijui niliimaanisha hatua nyingine ipi.“Maeneo ambayo wengine hawawezi kuziona hadi wawe kwenye hatua nyingine.”
Ulisema mwenyewe b…
Haya nieleze na hili. Ni kweli mmepigwa 5 kwa vumbi la kongo au mafuta ya Parachute?. Huku kijijini hatujuiNa wewe umetokea Kijiji gani?
Si ukae kimya km hufuatilii mpira na hujui chochote?
NITAKOSEA KM SITAKUSAIDIA: Huyu awali alikuwa kocha wa makipa pale Azam FC benchi la ufundi likafukuzwa akaajiriwa simba km kocha wa viungo.
Lkn pia ana leseni ya ukocha inayotambulika na UEFA na caf.
So si Kwamba jaajiriwa baada ya RTinho kufukuzwa.
Nb: kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Tatizo makolo wakiona mzungu tuu wanadhani ni kocha!Tulikuwa nae mazoezini jioni ya leo
N:B TUMEANZA MAZUNGUMZO YA AWALI NA KISHINGO
Anaitwa cadena
Neno lako
View attachment 2807095View attachment 2807096
Wewe sio ndio ulituaminisha kua Simba balaa wakiamua lao.Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Rejea hapo number 10 utaelewa kila kituWewe sio ndio ulituaminisha kua Simba balaa wakiamua lao.
Ukaenda mbali kwa kusema kua wale wajumbe waliochaguliwa juzi ni kiboko ya utopolo na baadhi ya timu kwenye ligi.
Leo mbona unatafuta huruma na kukataa maneno yako?
Umeongea kikubwa kula 5Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Kwenda huko, mi mbona nimeshaijua hiyo hatua b...?Lols! Nimecheka sana kwa kweli. Hata sijui niliimaanisha hatua nyingine ipi.
Ova