mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Huu ni uchokozi kwa ndugu zako.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mahi wetu anazidi kuongeza huduma zake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uchokozi kwa ndugu zako.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mahi wetu anazidi kuongeza huduma zake..
Na ini lake si lianze Tu kufanya kazi.Dunia nzuri ipi mkuu? Maana usipokufa kwa figo utakufa kwa ini
Mdudu hachukiwi, anaepukwa kuliwaAta kumchukia mdudu ni dhambi sabu hujamuumba wew
Basi mumuheshim na kumpenda yeye na wanaomlaMdudu hachukiwi, anaepukwa kuliwa
🤣🤣🤣Na ini lake si lianze Tu kufanya kazi.
Kitimoto ni kama maji ,usipo yanywa utayaoga.