Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Vya msingi mkuu ni kufanya ibada na kutoa zaka. Uwe na utu,uwatendee wema wazazi wako na watu wengine,Usizini,Usiseme uongo,acha roho mbaya na unafiki.

Kuchukia wavaa kobazi, Waarabu, Wachina au kuwasema vibaya wasioamini unachoamini sio ibada, zaidi unajipa stress! Wala hupati upako!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Vya msingi mkuu ni kufanya ibada na kutoa zaka. Uwe na utu,uwatendee wema wazazi wako na watu wengine,Usizini,Usiseme uongo,acha roho mbaya na unafiki.

Kuchukia wavaa kobazi, Waarabu, Wachina au kuwasema vibaya wasioamini unachoamini sio ibada, zaidi unajipa stress! Wala hupati upako!
Ata kumchukia mdudu ni dhambi sabu hujamuumba wew
 
Huyu mnyama anapigwa Vita Sana huko saud Arabia ila amekuwa na moyo wa kipee kwani hivi karibuni huko marekani amepandikizwa mtu Figo ya nguruwe baada ya Figo ya awali ya binadamu kufeli ndipo madaktari wakapandikiza Figo ya nguruwe na Sasa mgonjwa amepona na anaendele vzr tu

Natoa Rai kwa serekali yetu ya mama Samia kuwa na recordi za mnyama huyu interm of idada Yao kwa kila mkoa na ielekeze bajeti kubwa kukabiliana na magonjwa yanayo kabili sector hyo muhimu

Huyu mnyama amekuwa akizengenywa sana Na kuzingiziwa magonjwa mengi Lkn bado anadunda na kunennepa

Kwa taarifa nilizo nazo Ni kuwa watu laki 100,000 wanamatatizo ya Figo nchi marekani wanasubiri upandikizaji
View attachment 2954497View attachment 2954498
Nimemiss kitimoto baada ya kuona hii post
 
Kukosa elimu kula nguruwe ni haramu haibadiliki hata Yesu hakula huyo mdudu japo walikuwa wengi, kweny kumbukumbu alitupilia mbali mapepo kwa nguruwe .

Kama unakula nguruwe basi unaweza kula binadamu mwenzako ,utafiti binadamu na nguruwe wapo group moja wanafanana kila kitu mfano ulaji wa vyakula (Maji na nyama) wote wanakula ,bado nguruwe anaingia period kama binadamu😅😅😅😅.

Imekatazwa kula nguruwe ila lazima mtaje watu fulani kweny mada zenu ,uchokozi wapakwa mafuta.
 
Huyo mnyama simpendi hata kidogo, ni mchafu balaa... hv nyie mnaokula nguruwe mnaakili kweli?

Kwenye kupandikizwa Figo, sawa ila hiyo nayo imesababishwa na kumuendekeza kumla yaani anawaharibu Figo kwanza af mnapandikizwa yake, 🤣
 
Kukosa elimu kula nguruwe ni haramu haibadiliki hata Yesu hakula huyo mdudu japo walikuwa wengi, kweny kumbukumbu alitupilia mbali mapepo kwa nguruwe .

Kama unakula nguruwe basi unaweza kula binadamu mwenzako ,utafita binadamu na nguruwe wapo group moja wanafanana kila kitu mfano ulaji wa vyakula (Maji na nyama) wote wanakula ,bado nguruwe anaingia period kama binadamu😅😅😅😅
Tena nguruwe kamzidi binadam yeye anafakamia chochote tu, kalaaniwa huyo mnyama.
 
Back
Top Bottom