Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha...hilo limepita ..sema jingine..bebi gelo mayaiBebi gelo Mayai anakula nusu tu...Roast na ndizi mbili.
Nikila zaidi nakuwa siyo bebi gelo tena🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha...hilo limepita ..sema jingine..bebi gelo mayaiBebi gelo Mayai anakula nusu tu...Roast na ndizi mbili.
Nikila zaidi nakuwa siyo bebi gelo tena🤣🤣🤣
Naijua sababu hata aliyekuwa mpenzi wangu wa miaka ile ambaye ni mama watoto sasa alikuwa anapenda. Mpaka sasa anatakaga akamtafune na anamfakamia haswa.UnAijuaje harufu ya Kitimoto?
Basi sawa ,Swahiba muda ukifika nakushtuaIko tayari Swahiba
Dah Yule Jamaa asiyependwa na wengi hadharani Bali sirini amekuja na mpya tena! This time sio mezani tena bali ni uwezo wake mkubwa wa kutoa kidney kwa wanadamu "wanafiki" dhidi Yale. Jamaa Hana baya!
View: https://vm.tiktok.com/ZMMueWdgb/
Binadamu Gani anayekula watoto wake?Binafsi nguruwe namuona kama binadamu, na vile anakula kila kitu hata watoto wake.
Binadamu sababu anadonate figo, moyo, kongosho. Yaani hapo ukiwa na shida ya figo unaweza ukawekewa ya nguruwe na ikafit vizuri.Binadamu Gani anayekula watoto wake?
Sawa SwahibaBasi sawa ,Swahiba muda ukifika nakushtua
Sasa mfuga majini akiwekewa figo ya kitimoto itakuaje na mifugo yakeNguruwe ni kiumbe chenye faida kubwa sana, ukiacha utamu wake wa nyama, nguruwe hata majini tu yanakimbia ukiwa na mfupa wake nyumbani, sasa figo ya nguruwe ni dili kubwa sana
Kwa Sasa ameongeza huduma kwenye kliniki yake ya (inner body Part replacement) yeye amespesholaizi kwenye figo wataweka tuu,, uhai Mchezoo!!###IjumaaKareem###😋😋🐷🐷jioni nikabonyee nusu ya kukaanga,,Mayai matatu kienyeji ya kukaanga na Maziwa fresh nusu litaMahi wetu anazidi kuongeza huduma zake..
Mm wala si mambo ya dini. Dini inakataza vileo na napiga whisky hadharani sembuse nyama. Mm huwa naiona kama nyama isiyopaswa kuliwa kutokana na mnyama tu jinsi alivyo tabia zake. Ni kama tu watu wasivyokula nyama ya paka. Kwanini paka haliwi?Huyu mdudu, nilimla kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 19 bila kujua, tokea hapo huwa nakula kwa siri sana. Ila msimamo na dini yangu upo pale pale
CCM haoBinadamu Gani anayekula watoto wake?
Hahahaha wewe ni msabato, wale Jamaa hata samaki hawaliHuyu mdudu, nilimla kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 19 bila kujua, tokea hapo huwa nakula kwa siri sana. Ila msimamo na dini yangu upo pale pale
Amen Ndugu mjumbeNguruwe ni kiumbe chenye faida kubwa sana, ukiacha utamu wake wa nyama, nguruwe hata majini tu yanakimbia ukiwa na mfupa wake nyumbani, sasa figo ya nguruwe ni dili kubwa sana
Yanabadilika na kuwa binadamuSasa mfuga majini akiwekewa figo ya kitimoto itakuaje na mifugo yake
Dah Acha ukorofiKwa Sasa ameongeza huduma kwenye kliniki yake ya (inner body Part replacement) yeye amespesholaizi kwenye figo wataweka tuu,, uhai Mchezoo!!###IjumaaKareem###😋😋🐷🐷jioni nikabonyee nusu ya kukaanga,,Mayai matatu kienyeji ya kukaanga na Maziwa fresh nusu lita
Sihusiki ila Imebidi nizoom avatar yako.....asante!Amen Swahiba....
Nenepa kabisa....Nimerudi tena.