Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Dah Yule Jamaa asiyependwa na wengi hadharani Bali sirini amekuja na mpya tena! This time sio mezani tena bali ni uwezo wake mkubwa wa kutoa kidney kwa wanadamu "wanafiki" dhidi Yale. Jamaa Hana baya!


View: https://vm.tiktok.com/ZMMueWdgb/

Iran, Saudi Arabia, Central Africa,Palestine na Uturuki wana shida sana za figo , wanaweza kuanza kufuga nguruwe wa kisasa ili waweze kupata figo mpya.
 
Back
Top Bottom