Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Hahahahahaah wewe Jamaa huna akili Kabisa dah, eti vita yake anapiganiwa! Dah yeye Yuko busy Kula life. Sijawahi mkuta jamaa amepunzika, Yuko busy na life yake mwanzo mwisho
Si ndiyo yeye yupo busy na yake...
Ila ana wafuasi mob....Ukijichanganya kumgusa tu...Hawakuachia....

Halafu....Mimi siyo jamaa bhana....Mimi ni bebi gelo😅
 
Je ! Ndugu zetu wanaomwita haramu watakubali kuwekewa?

Kama wakikubali ,je! anaweza kwenda kuswali akiwa na kiungo Cha mdudu? Maana nasikia wao huswali na Yaleadude ambayo akina mwamposa wanapambana nayo ana ambayo wakihisi sehemu Kuna hata mfupa wa mdudu huwa wanakimbia.sasa si watazuia haki ya kuabudu kwa maruhani?
 
Nikiwa na njaa sanaaa lakini. Tangu kuzaliwa nimemla mara moja tu bila kujua. Alikuwa kakaushwa vizuriii na ndizi tupo watu wengi. Nimekula finyango kadhaa ndo nashtuka kumbe ni chair?
Ulimuonaje lakini ile ladha
 
Je ! Ndugu zetu wanaomwita haramu watakubali kuwekewa?

Kama wakikubali ,je! anaweza kwenda kuswali akiwa na kiungo Cha mdudu? Maana nasikia wao huswali na Yaleadude ambayo akina mwamposa wanapambana nayo ana ambayo wakihisi sehemu Kuna hata mfupa wa mdudu huwa wanakimbia.sasa si watazuia haki ya kuabudu kwa maruhani?
Havina uhusiano Ndugu yangu, tuache usitukatishe tamaa
 
Back
Top Bottom