Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

Wale wanao itanaga "ndugu yangu katika Imani" watoto wa mnyaazi mungu hua wanajifanya wana mponda Sana mbele za macho ya watu lakini ni watumiaji wazuri sana wa mnyama huyu aliebarikiwa faida kedekede kwenye mwili wa binadamu, kwa hili la kuanza kusaidia afya ya binadamu moja kwa moja inabidi nimpongeze NGURUE kwa kilo 2 safi kabisa leo
 
Wale wanao itanaga "ndugu yangu katika Imani" watoto wa mnyaazi mungu hua wanajifanya wana mponda Sana mbele za macho ya watu lakini ni watumiaji wazuri sana wa mnyama huyu aliebarikiwa faida kedekede kwenye mwili wa binadamu
Dah Acha kufru sheikh
 
Back
Top Bottom