Mganga anampenda sana mteja wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwi kwi kwi kwi kwi kwi LoL! Mganga alitoa onyo hirizi hazipendi kusafiri safiri na Ulaya zisiende kabisa au atakufa mtu ohooooo!
Okay kasie, sijawahi kusikia hiyo ni mpya kwangu.Mie niliekuwa kipindi mabibi na mababu zetu bado wanafanya mila kama sehemu ya maisha yao, nilikuwa nawasikia wazee wakiwaaambia wazazi wa wenye watoto ambao vitovu vyao vimetoka nje, kuwa mjomba wa huyo mtoto akikanyaga hicho kitovu kwa kisigino basi kitovu hurudi ndani.
Those were hear says sikuwahi shuhudia mtoto ambae kitovu chake kilikuwa kikubwa baadae kikarudi ndani.
Ni sawa na ile mama mjamzito asikae mlangoni kama kupumzika akifanya hivo wakati wa kujifungua mtoto atakwama njiani hatatoka.
Sijui kama ina ukweli I grew up hearing such myths.
I hope I have cleared the doubt Mr Miller
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!
Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.
Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
Umeanza vizuri ila uko mwisho umeonyesha na wewe ni wale wale... Kwanini mjomba peke ndio amkanyage kitovu kama sio ushilikina nao ni nn[emoji27] [emoji124] [emoji124]Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!
Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.
Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]View attachment 713729 nimeweka jukwaa la jokes sasa niye mods futeni tena
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] Demiss njoo utithibitishie hili
Watching....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Msimfanyie hivyo mshana
Subiri kwanza mtego ujaeShemeji yangu Mshana anaandaa makombora aje
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Demiss hongera kwa kupata mtoto wa kike mwenye afya nzuri.
ila hiyo mizigo mumtoe asee badoo hajakomaa kuanza kuibeba [emoji20][emoji20]
Nafuatilia kila comment wee subiri tu utaona
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Utawazibua choo au?