Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Kwi kwi kwi kwi kwi kwi LoL! Mganga alitoa onyo hirizi hazipendi kusafiri safiri na Ulaya zisiende kabisa au atakufa mtu ohooooo!
Mganga anampenda sana mteja wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukifungua hizo hirizi utakuta ni pipi za aivore ....mganga mtu mwingine[emoji473]
 
Mie niliekuwa kipindi mabibi na mababu zetu bado wanafanya mila kama sehemu ya maisha yao, nilikuwa nawasikia wazee wakiwaaambia wazazi wa wenye watoto ambao vitovu vyao vimetoka nje, kuwa mjomba wa huyo mtoto akikanyaga hicho kitovu kwa kisigino basi kitovu hurudi ndani.

Those were hear says sikuwahi shuhudia mtoto ambae kitovu chake kilikuwa kikubwa baadae kikarudi ndani.

Ni sawa na ile mama mjamzito asikae mlangoni kama kupumzika akifanya hivo wakati wa kujifungua mtoto atakwama njiani hatatoka.

Sijui kama ina ukweli I grew up hearing such myths.

I hope I have cleared the doubt Mr Miller
Okay kasie, sijawahi kusikia hiyo ni mpya kwangu.
 
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!

Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.

Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.

Kukanyagwa kitovu kwa kisigino cha mjomba,hio ni tiba ya MUHIMBILI au ya KCMC?[emoji1321]
 
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!

Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.

Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
Umeanza vizuri ila uko mwisho umeonyesha na wewe ni wale wale... Kwanini mjomba peke ndio amkanyage kitovu kama sio ushilikina nao ni nn[emoji27] [emoji124] [emoji124]
 
View attachment 713729 nimeweka jukwaa la jokes sasa niye mods futeni tena
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
IMG-20180306-WA0050.jpg
 
Back
Top Bottom