Weka pichawanafanana pua
[emoji1] [emoji1] [emoji1] love don't hateMshana atakuwa kakasirika sana mpaka sasa hajajibu chochote.
Sijui atakachokuja nacho.
Duh mtoto amevalishwa kondesa za kutosha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]View attachment 713729 nimeweka jukwaa la jokes sasa niye mods futeni tena
Dah wameshanifanya babu yaoMshana jr ukuje Huku mm nakuheshimu sana mkuu naona kunawatu wana kuvunjia heshima.
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!
Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.
Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
Subiri tu utaona kitakachotokeamshana jr njoo mtoto ana dhalilishwa huku na bastola zake za ulinzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nafuatilia kila comment wee subiri tu utaona
Jaman ndo nn kuleta baby wetu huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] Demiss njoo utithibitishie hili
Tayartayari wameshananii na mtoto juu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni familia ya kilozi kuanzia Baba mama na watotoDemiss hongera kwa kupata mtoto wa kike mwenye afya nzuri.
ila hiyo mizigo mumtoe asee badoo hajakomaa kuanza kuibeba [emoji20][emoji20]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto anatakiwa ajuwe mapema
Kupaaaa hewan na ungokwa umri huo anajua nn hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamezaa na Demis?
Like motherLike father like son
Tutawapiga kama bomu la nyukliaSubiri kwanza mtego ujae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NakusubiriaNafuatilia kila comment wee subiri tu utaona