Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Kasie huna mtoto umejuaje akikanyagwa kitovu na kisigino kitarudi ndani ahaha nina wasiwasi una mtoto huko ulipo au yuko kwa bibi yake 😀
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!

Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.

Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
 
Back
Top Bottom