Nipo rafiki, naona yanataka kukumbuka Kama ya Mtoto wa bi Sandra na Bwana Abdul, kosa kutangaza ndoa ahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rafiki upo?
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!
Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.
Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
Hello mkuu ,,hili LA mjomba kumkanya kitovu na kisigino ni kweli, inasaidia?Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!
Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.
Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
Kwangu ngumuNipo rafiki, naona yanataka kukumbuka Kama ya Mtoto wa bi Sandra na Bwana Abdul, kosa kutangaza ndoa ahahaha
Labda hayo makamba kamba ndo yamemfanya awe na afya nzuri[emoji2]Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!
Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.
Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nipomshana jr njoo umuone mwanao ana kinga orijino.
Mshana mjukuu wa chifu huyo kwa kipaji chako atakufaa sana.[emoji1] [emoji1] [emoji1] yale yale ya mobetoo
HahahaaaMshana mjukuu wa chifu huyo kwa kipaji chako atakufaa sana.
Nenda mkafanye kolabo ya mikoba mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanirusha rohoNi baby wanhu muda mrefu tu tangu nwaka 2017
Hakuna kolabo mme wanguuu weee ninavyokupenda mpaka mawe yanajuaAnakurusha roho tu hun am all yours.. Ni wewe pekeyako... Yote yako wala hakuna kolabo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] yale yale ya mobetoo
Siku nyingine ukija kwetu simu unaaacha getiniJamani nimempenda tu huyo mtoto
Hana kosa,Siku nyingine ukija kwetu simu unaaacha getini
Kabisaa mkuu mm mwenyewe mwili mzma umejaa hiriz zinapumuaaa tuuuu sjui ndo antena za ulinziHana kosa,
Hata hivyo mtoto wa nyoka ni nyoka.