Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!

Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.

Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.

wewe kama mimi nilivyoona pampers nikasema mbona ni mtoto wa digital? hayo makamba vipi? but kumbuka hata mtoto wa Diamond naye walimfunga kamba mkononi ndio nikachoka full
 
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!

Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.

Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
Hello mkuu ,,hili LA mjomba kumkanya kitovu na kisigino ni kweli, inasaidia?
 
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!

Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.

Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
Labda hayo makamba kamba ndo yamemfanya awe na afya nzuri[emoji2]

Halafu sidhani kama hawana pesa za kumpeleka hospitali.
 
Back
Top Bottom