Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia picha hii ya Leo ya Mheshimiwa Omar Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI akiwa pamoja na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara namna walivyo tabasamu na kujawa na furaha katika nyuso zao inafika wakati unasema kuwa Mungu ni Mungu Tu na atabakia kuwa Mungu tu.
Wapo watu wenye roho mbaya,roho za kichawi ,roho za kishetani,wivu,chuki binafsi na ujinga hawaamini macho yao wanapoona picha hiii ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda akiwa katika tabasamu.kwa sababu tayari wao walishamtangazia kifo,walishamuua katika ulimwengu wao wa kiroho,walishakaa na kusubiri tangazo la kifo chake,tayari wao walishafanya sherehe za kwamba huyo mtu hayupo tena Duniani.
Ndio sababu picha kama hii wakiiona machoni mwao wanatamani kuzimia,wanatamani kupasuka ,wanatamani wangekuwa ni Mungu wafanye yao ,wanatamani asionekane hadharani, wanatamani picha kama hiyo isisambae kwa watu waliowapotosha maana inawaumiza ,inawatesa ,inawapa maumivu kuona Mwamba akiwa na tabasamu huku wao wakiendelea kuishi maisha yasiyo ya furaha .
Mwamba Paul Christian Makonda ataendelea kuwepo kwa kadri ya Mapenzi ya Mwenyezi Mungu na siyo mipango ya mwanadamu mwenye chuki binafsi. Mwamba Makonda ni muujiza unaotembea na anaendelea kuwa hapo alipo kwa Neema ya Mungu tu ambaye siku zote ndiye amekuwa mlinzi wake.
Kazi nzuri ,ucha Mungu wake,huruma yake kwa watu,msaada na matendo yake ya kugusa maisha ya watu kama vile yatima ,wajane,wazee wasio jiweza ambao wamekuwa wakisaidiwa na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda imefanya hata Mungu Mwenyewe kuendelea kumlinda Mja wake wakati wote. Ni Mungu Mwenyewe ndiye amekuwa akiziongoza hatua za Mwamba Makonda na ndiye amekuwa nuru na taa ya Maisha yake
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.