Denis Swai
Member
- Sep 9, 2024
- 27
- 67
Hivi nyie na punguani lenu hilo mtakesha kulipigia debe kwenye mitandao au linajipigia debe lenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninarudia tena Kukuuliza je, Mke wa RC wa Arusha Paul Makonda anajua kuwa unampenda sana Mumewe na haulali?Siwezi kupoteza muda wangu kujibizana na wewe wakati najuwa akili yako ni robo.
Hapana sikupoteza.Nimeuliza tu swali,ndio maana kuna question mark nimeweka.
Labda wewe .Huyo anaendesha magenge ya uhalifu
Mimi naongea ukweli na siyo kusifia.Mwashambwa hivi na wewe Uchawa wako uwe na kiasi, Mchengerwa na Makonda wana wake zao unavyowasifia mpaka najihisi una mushikeri sehemu 🤣🤣🤣
Kama una hasira sana kunywa sumu UFE tuHivi nyie na punguani lenu hilo mtakesha kulipigia debe kwenye mitandao au linajipigia debe lenyewe
Narudia kusema tena kuwa sibishani na kujibizana na akili robo.Ninarudia tena Kukuuliza je, Mke wa RC wa Arusha Paul Makonda anajua kuwa unampenda sana Mumewe na haulali?
Alahaji MAKONDANdugu zangu Watanzania,
Ukiangalia picha hii ya Leo ya Mheshimiwa Omar Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI akiwa pamoja na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara namna walivyo tabasamu na kujawa na furaha katika nyuso zao inafika wakati unasema kuwa Mungu ni Mungu Tu na atabakia kuwa Mungu tu.
Wapo watu wenye roho mbaya,roho za kichawi ,roho za kishetani,wivu,chuki binafsi na ujinga hawaamini macho yao wanapoona picha hiii ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda akiwa katika tabasamu.kwa sababu tayari wao walishamtangazia kifo,walishamuua katika ulimwengu wao wa kiroho,walishakaa na kusubiri tangazo la kifo chake,tayari wao walishafanya sherehe za kwamba huyo mtu hayupo tena Duniani.
Ndio sababu picha kama hii wakiiona machoni mwao wanatamani kuzimia,wanatamani kupasuka ,wanatamani wangekuwa ni Mungu wafanye yao ,wanatamani asionekane hadharani, wanatamani picha kama hiyo isisambae kwa watu waliowapotosha maana inawaumiza ,inawatesa ,inawapa maumivu kuona Mwamba akiwa na tabasamu huku wao wakiendelea kuishi maisha yasiyo ya furaha .
Mwamba Paul Christian Makonda ataendelea kuwepo kwa kadri ya Mapenzi ya Mwenyezi Mungu na siyo mipango ya mwanadamu mwenye chuki binafsi. Mwamba Makonda ni muujiza unaotembea na anaendelea kuwa hapo alipo kwa Neema ya Mungu tu ambaye siku zote ndiye amekuwa mlinzi wake.
Kazi nzuri ,ucha Mungu wake,huruma yake kwa watu,msaada na matendo yake ya kugusa maisha ya watu kama vile yatima ,wajane,wazee wasio jiweza ambao wamekuwa wakisaidiwa na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda imefanya hata Mungu Mwenyewe kuendelea kumlinda Mja wake wakati wote. Ni Mungu Mwenyewe ndiye amekuwa akiziongoza hatua za Mwamba Makonda na ndiye amekuwa nuru na taa ya Maisha yakeView attachment 3097352
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We jamaa wewe...Ndugu zangu Watanzania,

Mimi ni muungwana sana na mwenye moyo wa huruma na upendoWewe ni chinjachinja mnyonya damu
Kweli wewe umechanganyikiwa kabisa .Katavi ndio Arusha?Sativa aliokotwa katika mbuga ulipo mkoa wa huyo RC unayemsifia Kila kukicha.
Jaribu kumuuliza, ilikuwaje kuwaje mkoa anaouongoza kuwa dampo la wasiojulikana kutupa mizigo Yao?
Picha za CCTV Bado zinamuonyeaha huyo RC akiingia clouds media akiwa na watekaji!!Kweli wewe umechanganyikiwa kabisa .Katavi ndio Arusha?
Sativa anadai Aliletwa Arusha.Kweli wewe umechanganyikiwa kabisa .Katavi ndio Arusha?
Matusi ya nini KijanaMke wake anajua kuwa unampenda sana Mumewe?
Mwasisi wa kauli mbiu ya kazi iendelee ni JPM (Acha_Kazi_Ziendelee) 2020Ndugu zangu Watanzania,