Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Yule ni chizi tu😀😀😀.kwani wewe unaona yupo sawa kichwani?Basi yule mwenzio Gentamy nini sijui anakutafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni chizi tu😀😀😀.kwani wewe unaona yupo sawa kichwani?Basi yule mwenzio Gentamy nini sijui anakutafuta
Wewe ni mnafiki tu na hauna lolote! Hater ni hater tu acha kujitoa ufahamu!Acha kudandia mambo mkuu Kuna mahali nimewataja hao kuwa mstaarabu masta
Wewe mwenye Lolote unalipi zaidi ya kuchoma bando tu hapaWewe ni mnafiki tu na hauna lolote! Hater ni hater tu acha kujitoa ufahamu!
Una utani sana wewe ngoja nikuletee picha uone alivyo vaa hadi miguuni.Ma shaa Allah.
Nimebubujikwa machozi ya furaha kuona Makonda kapendeza kwa kilemba, kanzu na chini itakuwa katinga "kobazi". Natsmani sasa nimuone akipiga rakaa Masjid.
Hii hapa angalia alivyovaa hadi miguuni na kupendezaMa shaa Allah.
Nimebubujikwa machozi ya furaha kuona Makonda kapendeza kwa kilemba, kanzu na chini itakuwa katinga "kobazi".
Natamani sasa nimuone akipiga rakaa Masjid.
Aione Yoda hiyo.Hii hapa angalia alivyovaa hadi miguuni na kupendeza View attachment 3097501 .naamini nimekata kiu yako sasa.
Siku ukikutana na Mkewe lazima mchambane!Siwezi kupoteza muda wangu kujibizana na wewe wakati najuwa akili yako ni robo.
Kimbelembele sitabia ya kiume.... Ni yawale wa kuolewa!!Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia picha hii ya Leo ya Mheshimiwa Omar Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI akiwa pamoja na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara namna walivyo tabasamu na kujawa na furaha katika nyuso zao inafika wakati unasema kuwa Mungu ni Mungu Tu na atabakia kuwa Mungu tu.
Wapo watu wenye roho mbaya,roho za kichawi ,roho za kishetani,wivu,chuki binafsi na ujinga hawaamini macho yao wanapoona picha hiii ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda akiwa katika tabasamu.kwa sababu tayari wao walishamtangazia kifo,walishamuua katika ulimwengu wao wa kiroho,walishakaa na kusubiri tangazo la kifo chake,tayari wao walishafanya sherehe za kwamba huyo mtu hayupo tena Duniani.
Ndio sababu picha kama hii wakiiona machoni mwao wanatamani kuzimia,wanatamani kupasuka ,wanatamani wangekuwa ni Mungu wafanye yao ,wanatamani asionekane hadharani, wanatamani picha kama hiyo isisambae kwa watu waliowapotosha maana inawaumiza ,inawatesa ,inawapa maumivu kuona Mwamba akiwa na tabasamu huku wao wakiendelea kuishi maisha yasiyo ya furaha .
Mwamba Paul Christian Makonda ataendelea kuwepo kwa kadri ya Mapenzi ya Mwenyezi Mungu na siyo mipango ya mwanadamu mwenye chuki binafsi. Mwamba Makonda ni muujiza unaotembea na anaendelea kuwa hapo alipo kwa Neema ya Mungu tu ambaye siku zote ndiye amekuwa mlinzi wake.
Kazi nzuri ,ucha Mungu wake,huruma yake kwa watu,msaada na matendo yake ya kugusa maisha ya watu kama vile yatima ,wajane,wazee wasio jiweza ambao wamekuwa wakisaidiwa na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda imefanya hata Mungu Mwenyewe kuendelea kumlinda Mja wake wakati wote. Ni Mungu Mwenyewe ndiye amekuwa akiziongoza hatua za Mwamba Makonda na ndiye amekuwa nuru na taa ya Maisha yakeView attachment 3097352
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unaumia ukiwa wapi huko kusiko na vidonge vya kutuliza maumivu?Kimbelembele sitabia ya kiume.... Ni yawale wa kuolewa!!
Kama unampenda sana bandika picha yake ndani kwako na kitandani kwako umsujudie Kila saa hapa tunajadili mambo ya kitaifa sio mahaba binafsi mxyuu!
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia picha hii ya Leo ya Mheshimiwa Omar Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI akiwa pamoja na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara namna walivyo tabasamu na kujawa na furaha katika nyuso zao inafika wakati unasema kuwa Mungu ni Mungu Tu na atabakia kuwa Mungu tu.
Wapo watu wenye roho mbaya,roho za kichawi ,roho za kishetani,wivu,chuki binafsi na ujinga hawaamini macho yao wanapoona picha hiii ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda akiwa katika tabasamu.kwa sababu tayari wao walishamtangazia kifo,walishamuua katika ulimwengu wao wa kiroho,walishakaa na kusubiri tangazo la kifo chake,tayari wao walishafanya sherehe za kwamba huyo mtu hayupo tena Duniani.
Ndio sababu picha kama hii wakiiona machoni mwao wanatamani kuzimia,wanatamani kupasuka ,wanatamani wangekuwa ni Mungu wafanye yao ,wanatamani asionekane hadharani, wanatamani picha kama hiyo isisambae kwa watu waliowapotosha maana inawaumiza ,inawatesa ,inawapa maumivu kuona Mwamba akiwa na tabasamu huku wao wakiendelea kuishi maisha yasiyo ya furaha .
Mwamba Paul Christian Makonda ataendelea kuwepo kwa kadri ya Mapenzi ya Mwenyezi Mungu na siyo mipango ya mwanadamu mwenye chuki binafsi. Mwamba Makonda ni muujiza unaotembea na anaendelea kuwa hapo alipo kwa Neema ya Mungu tu ambaye siku zote ndiye amekuwa mlinzi wake.
Kazi nzuri ,ucha Mungu wake,huruma yake kwa watu,msaada na matendo yake ya kugusa maisha ya watu kama vile yatima ,wajane,wazee wasio jiweza ambao wamekuwa wakisaidiwa na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda imefanya hata Mungu Mwenyewe kuendelea kumlinda Mja wake wakati wote. Ni Mungu Mwenyewe ndiye amekuwa akiziongoza hatua za Mwamba Makonda na ndiye amekuwa nuru na taa ya Maisha yakeView attachment 3097352
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kimbelembele chako kifanye niumie?? Nakuonea tuu huruma nakama unawatoto sijui unawafundishaga NiniðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Unaumia ukiwa wapi huko kusiko na vidonge vya kutuliza maumivu?
Huu ndiyo ukweli mchungu. Sidhani kama wazazi wako wanajivunia kuwa na mtoto pooza kama wewe.Nimekusamehe bure kabisa makosa yako.
Umesamehewa dhambi zako bure kabisa.Amani ya Bwana iwe pamoja nawe.Huu ndiyo ukweli mchungu. Sidhani hata wazazi wako wanajivunia kuwa na mtoto pooza kama wewe.
Kwa sasa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Ameifanya kaskazini kuwa na utulivu na kufikiria habari za maendeleo tu wakati wote.Warudi kwao hawa machawa. Kaskazini hatuna watu wa type hii. Hawa ni watu wa kusini na Makonda msukuma atuachie kaskazini yetu hatunaga washamba shamba hivi.
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni mtu safi mwenye mikono safi .ni mtu mwenye huruma, upendo, unyenyekevu na utu mkubwa sana.ndio maana ni kawaida sana kumuona akisaidia wajane ,yatima,wazee wasio jiweza na watu mbalimbali wenye shida na matatizo mbalimbaliNape hana hamu naye makonda alitaka to make him go meet his maker sooner than expected.
Mwamba toka karudi issue za abduction na enforced disappearance with a trace zimekuwa nyingi. Yawezekana yeye ndio baba wa phylosophy hiyo.