Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Hakuna sehemu tumesema TAL alipe fadhila: inawezekana umeelewa ndivyo sivyo but we respect your thoughts . Human Differences ni lazima
😆
 
Ti
Tunamshukuru kwa kuokoa uhai wa Tundu Lissu.Hakika alifanya kazi kubwa.

Mungu aendelee kubariki kazi za mikono ya Dr. Mpoki Ulisubisya.

Nje ya mada, hili jina Ulisubisya lina-sound kama la kihaya . Huyu daktari ni muhaya eeh !!!
Tltle ya kinyakyusa hyo
 
Shukrani kwa kuweka kumbukumbu sawa.

Weka picha ya Dr. Ulusubisya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…