Huyu Hayati Magufuli aliyajua haya?

Huyu Hayati Magufuli aliyajua haya?

sisi tuishio uswahilini tunaelewa JPM ndiye alikuwa shujaa wetu, nyie msiompenda tokomeeni mahali pengine

Nyie wachache ndo' mnampotosha Bi' mkubwa siyo Bure......
 
Kwakweli inakera sana, kwanini tusiFocus na yaliyopo na yajayo.

Kila siku Legacy Legacy [emoji53]
utandawaz unatuzalishia vijana wapuuz wanataka kusikia ukraine zaid kuliko siasa zao
 
Kwani huyu SSH yeye kafanya nini zaidi ya kulea majizi na safari zisizo na kichwa wala miguu.
huyo unamjibu ni JIZI SUGU ni ngumu sana kukuelewa ili kulea wizi wao wanatumia lugha za kikabila siku hz
 
Bongo bhana yaani aliekuwa makamu wake WA rais hataki hata kumsikia nyie mmebaki kujifariji eti tulikuwa tunampenda.

Propaganda zake zimewameza endeleeni kuota ndoto za mchana. DIKTETA MAGUFULI amfariki dunia ndugu zangu pambanane na Hali zenu. Itikadi za KIFASHISTI hazitowafikisha popote mnapoteza muda
makamo huyu huyu ambae anasema bila mkopo hatuend halaf anamlaumu mzee alikopa sana , tumuelewej sasa
 
Sasa kama yy hataki kumsikia ndio na mimi nisimsikie? Dikteta kwako ila kwetu alikuwa mwamba, so kama unaumia endelea kuumia.
huyo jamaa anaeza akawa mdau wa madawa ya kulevya , Panya road , fisadi , mwizi/kibaka , shoga , vyeti feki , mtu wa vijiweni au Jambaz/Gaidi hayo makubdi aliyadili mzee vilivyo
 
Hata madudu ya over invoicing ya manunuzi ya ndege leo mama kasema "limeanzia "huku ndani"! Huku akipoint mlango wa kuingilia ndani Ikulu.

Tuliyoelewa tumemuelewa.

Asiyejuwa maana haambiwi maana hana maana.
ndo kaonyesha mf kwa kununua makopo yale ya treni? muwe mnaangalia na wa kumtumia kama reference
 
Waambie hivi, Mke wake tu Mama Janeth amenenepa sana saivi anaishi kwa amani maisha yanasonga mbele.

Sasa sijui wao ni akina nani wanaoumia zaidi ya Mke wake. Au ni Nyumba ndogo zimekosa urithi?
vichaa mlotoroka milembe ni weng sana , ww kama sio mdau wa madawa basi ni shoga kama sio shoga bas ni vyeti feki , au mwiz /kibaka , fisadi /mishahara hewa au mhujumi uchumi
 
unaumia mtu kusifiwa watu wa mbagala utawajua tu uswahili muda wote
🤓🤣😂
Mkuu watu wa mbagala wanaingiaje hapo 😂

All in all hatuta kuja kupata Rais kama JPM
Maana ukitaja jina la magufuli mafisadi yanatetemeka...
Wazembe, wavivu, watu Wasiowajibika....
Wapiga deal, wakwepa Kodi na wahujumu uchumi wanaingia mitini...

Mm hata nisipo kuja kua Rais, MAGUFULI Ali yaishi baadhi ya maono yangu
Mimi ni aina ya watu kama JPM, the true definition of Son of Africa....

Magufulification of Africa 🌍 by P.L O LUMUMBA
 
Back
Top Bottom