sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Ndege ya mizigo mmeorder juzi. Kisha useme ameorder MaguHata madudu ya over invoicing ya manunuzi ya ndege leo mama kasema "limeanzia "huku ndani"! Huku akipoint mlango wa kuingilia ndani Ikulu.
Tuliyoelewa tumemuelewa.
Asiyejuwa maana haambiwi maana hana maana.